rahma kisuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Rahma Kisuo na Wanu waliwezaje kuwa Mawaziri?

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana, Ni kweli kwa ujumla uwaziri nchini kwetu kwa sehemu kubwa huwa ni lazima uwe chawa wa Rais na chama badala ya merits lakini kuna nyakati waziri anakuwa duni mpaka inakuwa ni vituko vya kusikitisha katika nchi. Mtu kama huyu bonge nyanya Rahma Kisuo ambaye...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rahma Kisuo: Vijana mkimaliza masomo msisubiri kuajiriwa, Jiajirini

    Vijana mmesikia ushauri kutoka kwa mbunge? ========== Akizungumza katika kipindi cha One on One kinachorushwa na Wasafi TV, Mbunge wa Viti Maalum, Rahma Kisuo, amewataka vijana wanapomaliza masomo yao ya chuo kutosubiri ajira, bali waanze kujiajiri huku wakitafuta fursa nyingine za ajira. Soma...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rahma: Nilipokua nagombea ubunge sikuombwa wala kutoa chochote, walinichagua tu kwa kuniamini

    Mbunge wa Viti Maalum, Rahma Kisuo, akizungumza kwenye kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema wakati alipogombea ubunge, hakuombwa wala kutoa chochote ili kupata nafasi hiyo, bali alichaguliwa kutokana na kuaminiwa. Kisuo amesema hayo akieleza namna alivyopata nafasi ya kugombea ubunge...
Back
Top Bottom