Nimekutana na baadhi ya clip za mashehe, wakielezea namna wanakopaita peponi kutakavyokua na starehe kwa watakaoenda.
Moja kati ya starehe walizozitaja ni kuwepo kwa mabikra wa kutosha kwa kila mwanaume, swali langu ni je? Wanawake watakaofanikiwa kufika huko peponi watapewa nini? Wakati waume zao wakichakata bikra??.
Nawasirisha