Raha ya pombe ulewa haraka

Raha ya pombe ulewa haraka

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
1,413
Reaction score
5,150
Wakuu naandika huu Uzi nikiwa mitungi kinoma noma. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ya ULEVI na nimepiga nusu glass na kulewa chakariii..

Kuna bia zimetengenezwa na mkono wa jini wa jomba aminini nawaambia , alcohol ndogo ila Busta lake ni barahaaaa!!!

17683307626508902107287532639379.jpg
17683307974754767716202973888653.jpg
 
[Kwa mara ya kwanza] katika maisha yangu ya ULEVI na nimepiga nusu glass na kulewa chakariii..
Bado upo kindergarten ukifika Chuo cha Ulevi uka-graduate ndio tutakuelewa kwa sasa endelea kunywa nusu glass maana hapo hulewi ila kichwa chako na ubongo vinakwambia wewe ni beginner newcomer ukifika level za juu nusu glass sio ya kulewa mpaka umalize jaba ndio kichwa kinaanza kuita hapo unakua ume-graduate tayari
 
Wakuu naandika huu Uzi nikiwa mitungi kinoma noma. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ya ULEVI na nimepiga nusu glass na kulewa chakariii..

Kuna bia zimetengenezwa na mkono wa jini wa jomba aminini nawaambia , alcohol ndogo ila Busta lake ni barahaaaa!!!

Hahaha oyaaa mwananguuu... ssssikilizaaa... n-naandika hapa hukuu kioo kinayumbayumbaaa kama kipo b-bahariniii... m-mwananguuu...
"Oyaaaa mmshikajiii... h-huyo jjini wa j-jombaaa ni nomaaaa... yaani n-nusu g-glasi t-tu n-naona k-kila mtu ana wakuu wawiliwwailii... h-huku kw-kwangu kuna b-black l-label im-emwagika k-kwenye v-vodkaaaa... n-naona h-herufi zin-azinacheza singeliii m-mzee... t-tuko nzwiiiii m-mpaka k-kielewekeeee... c-cheersss b-bhanaaaa... m-maisha m-mafupiiii k,kama m-mkia w-wa m-mbuzi..."
Oyaaa m-mwanangu... v-vipi h-hapo u-umeona h-hizo h-herufi z-zinavyozururaaa? 🍻🥴🥴🥴
 
Raha ya Pombe hautakiwi ulewe haraka.

Nusu glass unalewa?.
Umenikumbusha mbali sana.
Kuna kipind nikiwa na miaka 20 hiv..nakunywa castle lager kubwa . Babe wangu alikuwa hapend pombe. Na tukikiss ile harufu tu ya bia . Bas yeye anaumwa kichwa kana kwamba amelewa 😂😂😂😂😂.

Kipind hiko nakunywa zile 4 hiv. Ndio najisikia sawa. Mwaka 2009. Dodoma. (Hapa ndio najifunza funza)

Nakaribia kuokoka. Bia ntaacha soon. Siku hizi ni kili ndogo na hazishuk sana. Nguvu imepungua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom