Raha ya nyumba ndogo

...of course nyumba ndogo inapunguza stress kwa kujituma zaidi wakati wa mavituuuuuuuzi!

That is just a myth! Yale yale ya kusema wanawake wa Kichaga wazembe kitandani! Kisa Mchaga wako mzembe basi unadhani wote ni wazembe, generolizasheni.
 
nyumba ndogo, sema hapa biggie are you for or against????

Angalia hii ni post yangu ya ngapi?
Baba yangu hajawahi kuwa na nyumba ndogo.
Naweka heshima kwake kwa posti hii.
Manake mida hii miaka mingi iliyopita alirudi home fasta akamkamata maza aliyekuwa analia kwa uchungu wa kunizaa.
Kesho asubuhi ntazaliwa!

AM AGAINST NYUMBA NDOGO!
 
Nyumba ndogo ni siri kubwa sana anaiyoijua baba tu! Mama na watoto hawatikiwi kujua. Na baba kurudi nyumbani mapema sio kigezo cha kutokuwa na nyumba ndogo. Stuka!
 
Angalia hii ni post yangu ya ngapi?
Baba yangu hajawahi kuwa na nyumba ndogo.
Naweka heshima kwake kwa posti hii.
Manake mida hii miaka mingi iliyopita alirudi home fasta akamkamata maza aliyekuwa analia kwa uchungu wa kunizaa.
Kesho asubuhi ntazaliwa!

AM AGAINST NYUMBA NDOGO!

I love you biggie brother!!! na kesho naifike haraka basi I just cant wait!!!!
 
hilo lisiwatishe tutaimport frm chine wanaume wamekuwa wengi.....

hahaaaaa sasa kumbe acha niwatoe wasiwasi wenzangu na mie ili wasirukie ndoa za wenyewe mweeeee!!!!

huko uchina men kibao wakosa wasichana wa kuoa wanaoa vibibi, tutafanya negotiation na uhamiaji watusaidie

Warembo hapo mmechemsha! Wachina? Ni feki mpaka hizo bidhaa za ndani! Mtayakosa yale mapigo ya kiswazi, shauri lenu! Wanazo tiny tiny ones.....
 
Warembo hapo mmechemsha! Wachina? Ni feki mpaka hizo bidhaa za ndani! Mtayakosa yale mapigo ya kiswazi, shauri lenu! Wanazo tiny tiny ones.....

wih the use of Dr Manyukis herbs we can make the tiny ones bigger!!!
 
wih the use of Dr Manyukis herbs we can make the tiny ones bigger!!!

Teh teh teh! Hujasikia Dr Ndodi anasema ukizilazimisha kuwa bigger damu haifiki huko? Allocation yake ni lita 3 za damu tu, sasa hiyo damu ya ziada itatoka wapi? Side effect asije kulia mtu hapa, mimi simo!
 
siku ingine kitu cha hivo think silently!!! sawa sweetie!!!!

haya we unayo au ndo hiyo ya rafiki yako unaitolea macho??

Nimekuelewa sweetie! Mimi sina nyumba kubwa wala ndogo! :) Umesahau tuko wote kwenye ile klabu yetu ya walioamua kupumzika kwa muda hayo makitu? :)
 
Nimekuelewa sweetie! Mimi sina nyumba kubwa wala ndogo! :) Umesahau tuko wote kwenye ile klabu yetu ya walioamua kupumzika kwa muda hayo makitu? :)
nilikutega niuone hw true you were!!!!

nimejirithisha mwenyewe thou not beyond reasonable doubt thou!!!

kingine acha kwenda kujikumbushie na yule X. CHENI MGUUNI NI UREMBO TU WASIKUZINGUE AKINA FIDEL
 
Back
Top Bottom