Raha ya ndoa NI NINI?

He he , ha ha ha ha

Babu bana, unaogoooopa.

Ngoja nikuibie siri( ni ushujaa kweli kuangusha simba mzee kuliko simba mtoto teh teh, afu wala huwa hawafi wanatoka jasho tu kama wanakisukari lol, usiogope sawa?)

Basi nyie hamna huruma kabisa,,

Mnataka mbabu wa watu afie kwenye kidonda??


Babu DC!!
 
He he , ha ha ha ha

Babu bana, unaogoooopa.

Ngoja nikuibie siri( ni ushujaa kweli kuangusha simba mzee kuliko simba mtoto teh teh, afu wala huwa hawafi wanatoka jasho tu kama wanakisukari lol, usiogope sawa?)


Haya bwana Kongosho,

Wenzio tulishamaliza shea zetu..Ngoja tuwaachie akina Bishanga wafaidi zamu yao!!


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
mwanzoni ulikuwa unajuwa kuna raha si ndio??sasa kwa sisi ambao hatujaingia unatupa ushauri gani??

Unapotaka kuingia kwenye ndoa hakikisha uko tayari kufanya hivyo na usiingie kwenye ndoa kwa sababu nyingine yoyote ile isipokuwa mapenzi ya kweli kwa pande zote mbili. Hakikisha unampenda kweli na anakupenda kweli.
 
Unapotaka kuingia kwenye ndoa hakikisha uko tayari kufanya hivyo na usiingie kwenye ndoa kwa sababu nyingine yoyote ile isipokuwa mapenzi ya kweli kwa pande zote mbili. Hakikisha unampenda kweli na anakupenda kweli.

mhhhh ni kweli kabisa, ila ndio hivyo siku hizi sio kila mtu anaingia kwa kupenda bali wazazi ndio utasema mwone kwanza kila mahali wenzako wameolewa wewe tu bado sijui unasubiria nini, so sio kila mtu anakuwa you ready bali ni kulazmishwa tu kitu ambacho ni kibaya zaidi.
 
Papizo wakati mwingine wala si wazazi bali ni vijana wenyewe! Unakuta kijana anataka kumwoa binti flani kwa sababu tu anatoka kwenye familia maarufu au yenye uwezo kifedha n.k. Na unakuta binti anakubali kuolewa na kijana flani huku akijua kuna mwingine anaempenda zaidi kwa vile tu huyo kijana anapesa na mali zaidi ya huyo mwingine. Na sababu nyingine nyingi ambazo baada ya muda mtu unakuja kujilaumu maisha yake yote.
 
Last edited by a moderator:

nimeipenda hii
 
So raha ya ndo ni tendo la ndoa?
ram kwangu mimi raha ya ndoa ni tendo la ndoa tu kwani ndicho kitu pekee cha tofauti unachokipata ambacho hakikufanyi kuonekana kuwa mdhambi.

utalishwa popote pale, utajaliwa , utalindwa lkn ni sehemu moja tu katika dunia ambayo ukifanya tendo la ndoa huhesabiwi kuwa mkosa nayo ni ndani ya ndoa. Hii wacha wasema akina Asprin, Bishanga , Kaizer, nyumba kubwa na wengineo wote ila ukweli utabaki kuwa huu ma dearest
 
Last edited by a moderator:
Vyote hapo unaweza kuvipata vizuri tu bila ndoa. Ndoa ni kujinyima uhuru tuu
 
Majanga# hebu tujadilini hivi kuna watu kweli wanaenjoy maisha ya ndoa hata 90% au ndo matatizo tu hivyohivyo kila mtu?
Mimi naona ni mateso tu yasiyo na kifani, hazipiti siku mmegombana! Bora kuishi hivihivi na kula bata wa nje!
 
una umri gani!samahani kwa swali langu.jibu then ntachangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…