Ni kweli kama wakisii wa kenya wananuka mdomo balaa wakenya wanawasema shauri ya kula ndizi sana maana kwa wakisii ndizi ndio zinapo tokaYes.
Kuna makabila kunuka mdomo ni jadi yao. Hata waswake na muarobaini
sio kweliSema we dada unaonekana mcharuko sana kwa mwandiko wako tu.
Makutano gani?Twende basi kule makutano nikajione mwenyewe..! Natangulia ujue...
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo mnazipenda hizo harufu nyieNa nyie papuchu zenu muzifanyie usafi...Kuna kipindi unamvua msichana mrembo alafu unakutana na kaharufu ka ngulu au kimolo
hata mwanaume piaMwanamke bora anuke kwingine lkn asinuke mdomo. Yaani we acha tu.
nini kilikupata?Kuna incidence moja nilikutana nayo kipindi fulan nusu nitapike.Nilijuta sanaaa
Kaaazi kwelikweli,akileta kichwa kulia unapeleka chako kushoto,akileta kushoto unapeleka kulia,akileta kulia unapeleka kushoto,yaani mpaka unamaliza shingo lazima ikakamae kwa maumivu......Mwanamke bora anuke kwingine lkn asinuke mdomo. Yaani we acha tu.
Then ua one of ugly girl on earth
Sema we dada unaonekana mcharuko sana kwa mwandiko wako tu.
Sema 'hakyamungu'!