Raha ya mapenzi usafi

Raha ya mapenzi usafi

Jamani tujitahidi kuwa wasafi tunapokuwa faragha na wenzetu. Umetoka safari angalau jisafishe uondoe jasho, paka mafuta na marashi.

Usafi ni muhimu kwenye majambozz wapendwa tofauti na hapo ni kinyaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila binadamu anaejitambua anapenda Usafi na Kua Msafi kimwili,ila harakati za ugumu wa Maesha wakati mwengine zinam
kata tamaa. Kwahiyo Ukiwa na mwezako jaribu kumuelewesha kwa pole na ustaarab.
 
Hahaha Asante kwa kuniita huku, ila huwa sielewi watu mnapata wapi akili za kuanza kunusiana mkiwa kwenye yale mamboz, ninavyojifahamu ni kwamba akili hunitoroka nakua kama chzi fulani, anything goes, nitalamba humo na kukugeuza geuza, huwa nakua kama chizi sijielewi wala miharufu sina muda nayo.
Labda baada ya bao la pili ndio akili zitaanza kunirudia.....

Ndio maana vijana wa siku hizi mumeshndwa hii michezo, mnakaguana sana, mara huyu mweusi mara amekonda mara mnene sana, jameni ukiwa wa hivyo hata bao moja litakushinda maana kila mtu ana mapungufu, wewe kula vitu, jifanye chizi, pitia pitia kote, mnyanyue, mbebe, mgeuze geuze, mtie ulimi kote mpaka kwenye maskio....mengine yatajijua huko mbeleni.
 
Hahaha Asante kwa kuniita huku, ila huwa sielewi watu mnapata wapi akili za kuanza kunusiana mkiwa kwenye yale mamboz, ninavyojifahamu ni kwamba akili hunitoroka nakua kama chzi fulani, anything goes, nitalamba humo na kukugeuza geuza, huwa nakua kama chizi sijielewi wala miharufu sina muda nayo.
Labda baada ya bao la pili ndio akili zitaanza kunirudia.....

Ndio maana vijana wa siku hizi mumeshndwa hii michezo, mnakaguana sana, mara huyu mweusi mara amekonda mara mnene sana, jameni ukiwa wa hivyo hata bao moja litakushinda maana kila mtu ana mapungufu, wewe kula vitu, jifanye chizi, pitia pitia kote, mnanyue, mbebe, mgeuze geuze, mtie ulimi kote mpaka kwenye maskio....mengine yatajijua huko mbeleni.
Lol..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila binadamu anaejitambua anapenda Usafi na Kua Msafi kimwili,ila harakati za ugumu wa Maesha wakati mwengine zinam
kata tamaa. Kwahiyo Ukiwa na mwezako jaribu kumuelewesha kwa pole na ustaarab.
Hakuna excuse yoyote ya kuwa mchafu! tujitahidi usafi tu kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha .... Yaani hata kama kuna Manzi Nina mpenda humu '' lakini nikishaona na wewe una interest nae..Aisee lazima nijiondoe faster katika hiyo competition maana najua Lazima utanishinda tu
Shehe mbona hivi shehe???

Hata kama tuna competition hivi techniques unazotumia zinahitaji kuangaliwa na VAR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha .... Yaani hata kama kuna Manzi Nina mpenda humu '' lakini nikishaona na wewe una interest nae..Aisee lazima nijiondoe faster katika hiyo competition maana najua Lazima utanishinda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha

Arif wacha kuniharibia aiseee. Lengo lako Dada Leti aone nina mademu wengi sio???

Hizi mbinu zako za sayari nyengine arif haahahahah
 
Back
Top Bottom