Raha ya kutumia usafiri wa Daladala

Raha ya kutumia usafiri wa Daladala

95% ya Mademu ninaowapata na ' Kuwabaiolojia ' kunakotukuka hukutana nao katika ' Madaladala ' na ndiyo maana hata ' Marafiki ' zangu wengi wakinikuta katika Vituo vya ' daladala ' na kusimamisha magari yao ili wanipe ' lifti ' huwa nawakatalia ' katukatu ' kwakuwa naona watanikosesha ' burudani ' yangu kubwa ninayoipata katika kusafiri na ' public shuttles '.
Wewe ndio kubwa la maadui
 
Kila jambo lina faida na hasara zake.

Pamoja na kuwa na kero nyingi sana kwa kutumia usafiri wa Daladala kwa mihangaiko ya kawaida pia kuna raha yake ya kutumia usafiri huu ukilinganisha na anayetumia usafiri binafsi(private car).

Ebu tiririka jambo hata moja tu ambalo kwa kutumia usafiri wa Daladala limewahi kukupa raha kwa namna moja au nyingine na hutoweza kujutia kutumia usafiri huu japo mara nyingi inauma sana kutokana na kero zake lukuki.

Karibuni tutiririke

Kukutana na demu mkali kila idara lakini hata siti kakosa. ananukia pafyumu kali pamba kali simu kali, ngozi ya chokoleti, lugha yetu ile inapanda kinoma halafu anshukia buza kwa lulenge.
 
Maisha ya Magu kujifariji muhimu. Mwendo kasi kuna kunukishana kwapa, kubanana kiasi cha kuchanganyana majasho

Maya sana
 
Utasikia konda anasema

Twende njoo ukae, hapo mbele shangazi geukia nyuma, mama sogea nyuma kidogo, dada hapo simama vizuri, kaka mpishe bibi apite, Tip top, manzese hakunaaa......Argentina acha...haya sogea mbele na nauli mkononi.
Hahaha....

Raha sana hasa ndo ukute umekaa na totoz show rangi ya jogoo chakula chake ub@oo
 
Mimi napendaga kpnd kile cha mbanano ukute chura ya maana imekubana loooh hadi unakojoa
Wanaume sijui mpoje.
Umenikumbusha enzi nasoma secondary nimepanda daladala tumebanana haswa, mkaka akanza kushika mak....nilikereka sana kuanzia siku hiyo nikaanza kulipa nauli ya mtu mzima nakaa kwenye siti.
 
Back
Top Bottom