Raha ya kutumia usafiri wa Daladala

Raha ya kutumia usafiri wa Daladala

Kuna siku naenda Tandika nimepanda Gari nakutana na demu ambaye nimeshamtongoza na nilikuwa na buku tu ikabidi nimlipie na yeye.balaa ilikuwa wkt wa kurudi nauri sina japo nimeweka heshima.ile siku akiri ilinikaa sawa
Hii nadhani ni post bora kabisa ya uzi huu, "The best post of the thread"
 
Kususiwa kichuguu ni raha sana alfu iwe usiku ukiushika akigeuka unakuta ana tabasamu alfu anakwambia sogea karibu
 
Kila jambo lina faida na hasara zake.

Pamoja na kuwa na kero nyingi sana kwa kutumia usafiri wa Daladala kwa mihangaiko ya kawaida pia kuna raha yake ya kutumia usafiri huu ukilinganisha na anayetumia usafiri binafsi(private car).

Ebu tiririka jambo hata moja tu ambalo kwa kutumia usafiri wa Daladala limewahi kukupa raha kwa namna moja au nyingine na hutoweza kujutia kutumia usafiri huu japo mara nyingi inauma sana kutokana na kero zake lukuki.

Karibuni tutiririke
Hakuna raha yeyote kwenye daladala, isipokuwa kama huna usafiri binafsi inabidi kuridhika na hali iliyopo, there's no way out.
 
Kubashiana km kawa.... ugwadu ukizidi... route ya goms mwenge... mbona unakimwwaga fasta
 
Kuna siku nilikuwa naenda Bima nikajikuta bimepitiliza hadi Kimanga. Nilikuwa nimesimama na mwanafunzi kama wa wa form 4 au five kajaaliwa neema za Mwenyezi Mungu we acha tu. Ikafika muda dudu nikahisi imelenga nanii na kilichofuata dah! Wenye daladala Mungu anawaona ujue!
 
Utaona mtu kasinzia fofofo ila akifika kituo cha kwao huyo kaamuka utafikiri kaset reminder
 
Utaona mtu kasinzia fofofo ila akifika kituo cha kwao huyo kaamuka utafikiri kaset reminder

Wee usiseme hivyo mkuu, kuna siku nimetoka Banana naelekea Tandika ndo nikakamate daladala za Buza kama mida ya saa mbili au tatu usiku hivi, si nikapitiwa na usingizi bana (na nilikuwa nimeshapiga vyombo kidogo ingawa nilikuwa sijalewa sana bado nilikuwa level) sasa ile kukaa seat ya dirishani isiyo na usumbufu wa kupisha pisha watu kushuka na kaupepo mwanana nikachapa usingizi bana. Daladala imefika Tandika sokoni abiria wameshuka na wamepanda wengine daladala imegueza kurudi Banana, sasa nikastuka usingizini nikajiuliza mbona gari haifiki kituoni mbona imetumia muda mrefu hivi (hapo inachapa mwendo), naangalia nje dirishani nashangaa tuko maeneo ya njia panda ya Vingunguti kurudi Banana, sasa najiuliza tulikuwa tunaelekea Tandika imekuwaje gari linarudi nyuma tena. Nikatafakari nikaona hapa nimeshabugi......nikasimama kusogea mbele namwambia konda shusha kituo kinachofuata (jet corner) nilitaka nianze kummaind ila nikaona ataniumbua so nikapiga kimya nikamlipa nauli yake nikashuka na kuvuka upande wa pili wa barabara kusubiri tena gari za kurudi Tandika. Kuanzia siku hiyo nilitia akili.
 
Hili jambo la kupitiwa na usingizi linawatesa wengi sana, halafu usungizi wa kwenye daladala huwa mtamu sana sijui kwa nini
 
Back
Top Bottom