Raha ya kutumia usafiri wa Daladala

Raha ya kutumia usafiri wa Daladala

Kila jambo lina faida na hasara zake.

Pamoja na kuwa na kero nyingi sana kwa kutumia usafiri wa Daladala kwa mihangaiko ya kawaida pia kuna raha yake ya kutumia usafiri huu ukilinganisha na anayetumia usafiri binafsi(private car).

Ebu tiririka jambo hata moja tu ambalo kwa kutumia usafiri wa Daladala limewahi kukupa raha kwa namna moja au nyingine na hutoweza kujutia kutumia usafiri huu japo mara nyingi inauma sana kutokana na kero zake lukuki.

Karibuni tutiririke
huu usafiri unaniburudisha sana hasa unapokutana na wadada wazuri wenye chura na maumbo mazuri halafu bahati gari iwe imejaa na wewe umesimama nyuma yake
 
lugha za makonda saa nyingine zinafurahisha. Utasikia yule mkuda "yaani" traffic kanilamba notification
 
Kuna Dada mmoja alinisusia mzigo wote nyuma....basi bila ajizi Abdallah yasini akasimama na kumgusa gusa kule kwenye msambwanda! Basi yule Dada akatulia tuli kama ananyolewa na cha kushangaza na kufurahia kwa upande wangu, gari ikiruka bamsi na kumsogeza alikuwa akijirudisha mwenyewe kwenye reli.
 
Back
Top Bottom