Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
daladala ni karaha haina raha yoyote hasa ushike.............. bomba khaaaaaaaaaaaaaaaa balaa bluu
Ni hizi enzi za digital lakini daladala tangu enzi za analogueMhh umbea mwaga kwenye whattupp group uone sekunde kumi nyingi TZ nzima imeshapata habari
Uliweka heshima au siyo!Kuna siku naenda Tandika nimepanda Gari nakutana na demu ambaye nimeshamtongoza na nilikuwa na buku tu ikabidi nimlipie na yeye.balaa ilikuwa wkt wa kurudi nauri sina japo nimeweka heshima.ile siku akiri ilinikaa sawa
Ni kweli mkuuSio kina mtu anaweza kuona raha,raha kwa mwingine ni Kero.Ila wazee wa mtongozo wanajua raha ya kukaa siti moja na mtoto mzuri alafu ni wa kiswazi hautajuta kupanda daladala.
Sema wewe kaka kwenye daladala kuna raha gani etihakuna raha kwenye daladala hakuna sisi wapandaji tunajua hili
hahaha [emoji28][emoji23] wasinzie waingie mtaloni..!!Kusinzia ukishapata seat...wenye magari yao hawawezi
Huenda alikuwa anakupima kama una kibami au hogoKuna Dada mmoja alinisusia mzigo wote nyuma....basi bila ajizi Abdallah yasini akasimama na kumgusa gusa kule kwenye msambwanda! Basi yule Dada akatulia tuli kama ananyolewa na cha kushangaza na kufurahia kwa upande wangu, gari ikiruka bamsi na kumsogeza alikuwa akijirudisha mwenyewe kwenye reli.
Huo ni Ugonjwa wa akili muone daktari faster .Mimi napendaga kpnd kile cha mbanano ukute chura ya maana imekubana loooh hadi unakojoa
Hahahahahaha nimecheka kwa sauti kubwa mkuu popomaSasa kama tunagonga sabun hafu iwe kuku
Hahahahahaha nimecheka kwa sauti kubwa mkuu popoma
Dah[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Eti ajabu nini kumpiga miti kuku wakati tunapiga miti sabuni [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Popoma noma, yani watu wanapiga mti mpk sabuni[emoji3][emoji3][emoji3]
Eti ajabu nini kumpiga miti kuku wakati tunapiga miti sabuni [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Popoma ni shida aiseee
Vipi kwema lakini mkuu
Kila jambo lina faida na hasara zake.
Pamoja na kuwa na kero nyingi sana kwa kutumia usafiri wa Daladala kwa mihangaiko ya kawaida pia kuna raha yake ya kutumia usafiri huu ukilinganisha na anayetumia usafiri binafsi(private car).
Ebu tiririka jambo hata moja tu ambalo kwa kutumia usafiri wa Daladala limewahi kukupa raha kwa namna moja au nyingine na hutoweza kujutia kutumia usafiri huu japo mara nyingi inauma sana kutokana na kero zake lukuki.
Karibuni tutiririke
Ukame wa ppm ndo ukame upi huo mkuu?Safi kbs kaka, huu ukame wa ppm ni wa mwendo kasi