Raha ya kutumia usafiri wa Daladala

Raha ya kutumia usafiri wa Daladala

95% ya Mademu ninaowapata na ' Kuwabaiolojia ' kunakotukuka hukutana nao katika ' Madaladala ' na ndiyo maana hata ' Marafiki ' zangu wengi wakinikuta katika Vituo vya ' daladala ' na kusimamisha magari yao ili wanipe ' lifti ' huwa nawakatalia ' katukatu ' kwakuwa naona watanikosesha ' burudani ' yangu kubwa ninayoipata katika kusafiri na ' public shuttles '.
GENTAMYCINE
 
Mimi huwaga nafurahi zile kauli za abiria pale konda anapokuwa anaomba hela/nauli

Konda-nipe nauli

Abiria-nitakupa nikikaa vizuri

Konda-nipe nauli

Abiria-hujapewa huko nyuma/mbele?

Abiria-konda kuna siti?

Konda-waliokaa unawaona wamekalia madumu/tofali

Abiri-konda kuna siti?

Konda-zipo mpaka za kulala
Utasikia konda anasema

Twende njoo ukae, hapo mbele shangazi geukia nyuma, mama sogea nyuma kidogo, dada hapo simama vizuri, kaka mpishe bibi apite, Tip top, manzese hakunaaa......Argentina acha...haya sogea mbele na nauli mkononi.
 
Back
Top Bottom