Raha ya kutongozwa...lol


 
Me ninamtongoza mmoja ths time,yani namwona tu anavyofurahia maneno yng sn.Kakubali kuja hom wekeend nasema atadata akivua.Leo et "najisikia raha ukinipigia simu,sijui kwanini?"
 
Binti mmoja nilivyoona ni mgumu kutongozeka nikaamua niwe namuangalia muda mrefu pasipo kukwepesha macho kila nimwonapo popote.
Akaanza aibu za kukwepa macho yangu.Ndani ya wiki tu akaanza kunibana kwanini napenda kumuangalia hovyo ati anahisikia aibu.....maongezi yakaanzia hapo halafu......
Zilikuwa nyakati nzuri sana
 
Watongozaji na watongwaji walikuwa zamani. Siku hata watongozaji wenyewe hawapo, ukiona mtu kalainika ni kwa ajili ya kusaidiana kupunguza genye tu, lakini si kutokana na kulainishwa na maneno ya mtongozaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…