Raha ya kitimoto

Raha ya kitimoto

Hahahahahahaaaaaaa... Naona Remote kaamua kukuchokoza...

Labda nitoesiri KWA mnaopikanyumbani palekwakakobe ulizamamamzazi aloycd kg 7000 unaendapikamwenyewe ukitakayakupikiwa ndio huku 11 na anauza kuanzia kg 5
 
Mkuu kudondokwa na mate ni dalili mbaya sana.
jikakamaze kidogo. Huko ndiko tunaita "KULEGEA"!
Yaani denda Mwalala!.
Teh teh teh!

Hatari sana.
Nyani Ngabu akikuona wewe sasa hivi ataanza kukuregezea macho!

0f1bb4c47aabfa3e5c306bddd2a2f5f1.jpg
 
We kula tu! Mbona hata Mavi Nyie mnakula?
Andiko linasema kula Mavi Ni Moja ya amri Ktk Biblia.
.na Km Umeweza kula Vinyesi Kila siku Nadhani nyama Ya Nguruwe kwako wewe lzm iwe tamu sana.

Boneless%20Center%20Cut%20Pork%20Chops.jpg
 
Numejuwa wapi wanapata akili za kuhodhi

tra

ofisi za wizara

ikulu
na sehemu nyeti...kweli akabenzi ukojuu jitahdi muwalishe watotowenu wafaulu mitihani nao wakaijaze tra na sektamuhimu serikalini
 
Nafungua madajinsiyakufuga nguruwe
 
Tamusana ndio maana wagalatia wanaongozamadarasani Aisee tanguwatoto...now nimejua kumbe src supu ya hotchair
 
Mwenye supu yamchemsho aniwekee hapa
 
Back
Top Bottom