Raha ya jf.

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
1.Raha ya jf uzi mpya, mzuri, unaoburudisha, kuelimisha na kuhisihisha; unaochangiwa na wengi, vizuri.
2.Raha ya jf ku chat, hasa baina ya wapendanao.
3.Raha ya jf kuwasakama walanchi.
4.Raha ya jf kupata habari za kweli early.
5.Raha ya jf vituko.
ONGEZA RAHA YA JF.
 
Raha ya JF, tembelea majukwaa yote kama watu8...
Raha ya JF, roho yako inakuwa kwatuuu
 
raha ya JF ni kutojulikana tu. Mtu na heshima zake ana post pumba za ajabu..
 
raha ya JF ni kutojulikana tu. Mtu na heshima zake ana post pumba za ajabu..

hahahahaaa, hapo umenena. wengine hapa ni watu na position zao ila likija suala la kuandika pumba huez amini kama ndo wenyewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom