Raha ya jf.

Raha yaJF - kushambuliwa especially utakapoomba ushauri wa mapenzi
 
mwaka huu utajibeba Bishanga. . . em cum dis way huz kuna kaubaridi!!!!! achana nae huyo.
ya nini kuandikia mate ingali wino upo,haya sasa MtotoSix hata kama kusoma hujui hata kuangalia hii movie utashindwa.
CL karibu kwenye himaya yangu,utakula raha mpaka uchanganyikiwe,mi ndo bepari la kihaya bana.
 
Last edited by a moderator:
Raha yaJF - kushambuliwa especially utakapoomba ushauri wa mapenzi
hivi fupa la kumpoteza charminglady bado limekukaba kukoo? Pole,tumia hedex upunguze maumivu,mtoto ndo keshachukuliwa na mapedejee,wewe oh nakupenda charminglady ilhali unampandisha daladala,inahusu? Baby keshapewa mkoko na wanaume wa ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga ungejua kuna x6 iko bandarini zawadi yake ya kukamata ujauzito wewe khalagabao unakuja na swagga za mikungu ya ndizi kutoka kanyigo na senene wa muleba hahahhahaaaa sijui akijifungua nimempeleka mapumziko italy.. charminglady wangu wa kufa na kuzikana
 
Last edited by a moderator:
cacico na Bishanga uo ni ubakaji mkubwa kumla mdogo? mi nakula saizi yangu vikongwe siviwezi lakini bishanga na uzee wake kakomaa kuhonga senene tu, utafia kwenye vifua vya watoto hawa. wanataka damu changa maana spidi yetu sio ya bitto
 
Last edited by a moderator:
cacico na Bishanga uo ni ubakaji mkubwa kumla mdogo? mi nakula saizi yangu vikongwe siviwezi lakini bishanga na uzee wake kakomaa kuhonga senene tu, utafia kwenye vifua vya watoto hawa. wanataka damu changa maana spidi yetu sio ya bitto
kwa taarifa yako gari bovu huvutwa na gari zima,bishanga na uzee wangu saizi yangu ka chickenspring kanipende kanitunze,halafu charminglady alivyo mtundu dah mpaka kisukari kimepona.
 
Last edited by a moderator:
raha ya jf nikuona eti mtu anasusa anakasirika wakat hata anaemkasirisha hajawah muona

Raha ya jf pm bana looh lait kila mtu angefungukiwa pm box yake haaaa ingekua sudan kusin
 
Raha ya JF ni kusoma post za kidini the way wa2 wanavyoshambiliana humu utadhan vita imeanza ila ukilog-out na kuja kitaa ni amani kabisa.

Lol......!
 
raha ya jf kuchati na watu vizuri kama mliwahi kuonana kumbe hata hamjuani!
 
Raha ya JF kupata ushauri unaouhitaji na usiouhitaji!
Raha ya JF kusoma mipasho ya watu
Raha ya JF kusoma madongo ya Kongosho, King'asti, The Boss, @Aspirin, Bishanga na wengine wachache!
A man was having sex with his boss wife at her house when suddenly
thieves broke in. The man went out of the house running as fast as he
could to his house. when he arrived home, his wife asked, "why are you
naked??".....The man replied, "well, i was attacked by
thieves on my way home, they took everything from me"....wife,"so why
is a condom on your penis??"....

Man, "well, as a grown up man, i couldn't run home
completely naked i had to cover some parts.
 
Raha ya jf, samaki mkubwa kumla mdogo!
daily_picdump_1031_640_02.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom