Raha sana eti!!!

Raha sana eti!!!

Kuna siku nilimwambia kuhusu mwandiko wake kuwa naufananisha naona akauchuna kimyaaa....hahahah akasahau kuwa baba hawezi kumsahau mwanaye

Tayari hapo juu mods wameshamfanya mbayaaaa mtumishi wa Mungu kadanganya
 
Tayari hapo juu mods wameshamfanya mbayaaaa mtumishi wa Mungu kadanganya

Ana hesabu kali huyo mtu we acha tu...alikuwa hajui kumbe anacheza makida makida kwenye tope.

Btw habari ya wewe mpendwa?
 
Back
Top Bottom