nimesema hamnitishi nimeshikwa nikashikamana. acha fitna we si mwanaume wewe au mtoto wa kiume
......fitina za nn we babaa wataka kuniua bure babaaa....
......yule ni wang, nami ni wake, wivu wa nni,,,,,,,,,
Kumbe hua ukitekenywa vizuri , unatekenyekaga!
Nway ni mida gani uipendayo mtekenyaji akutekenye?
heeee
mkeo anayajua hayo
hapa kunaendelea nini tena?
aisee sijui nikujibuje ujue..
Nini tena kwani...you know sielewi...naona raha afu metajwa...afu mkeo anajua...nini?
nasubiri jibu lake hapa
Amekonogesha au umenogewa?!
Hahahahaha...unagoma ee KokuTeh teh teh, impossible
yah yah! one of the above...please usimwambie yule wangu hata Heaven on earth coz huwa hachelewi kufikisha habari....