Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
- Thread starter
- #41
Umeona eehNa sasa hivi joto la dar inafaa sana hiyo. Hiyo fursa ya kukodisha kirikuu
Umeona eehNa sasa hivi joto la dar inafaa sana hiyo. Hiyo fursa ya kukodisha kirikuu
Du nn mkuu
Mshangao wa akili za ubunifu za jamaa. Watu wanapata shida kupeleka watoto kujifunza kuogelea ktk hotel n.k. Jamaa katoa mbinu ya kutatua shida kwa watu wenye maeneo madogo kujenga swimming pool. Kweli utajiri, fursa vyote vipo within our reach sema unatakiwa ufikirie kuliko kawaida. Unajiongeza tu.Du nn mkuu
Vibaya sana!! Hahaha hayo maji yanasaidia kijiji kwa siku mbiliMkuu uko kwenu inaelekea Kuna shida ya maji sn
Polee sanaVibaya sana!! Hahaha hayo maji yanasaidia kijiji kwa siku mbili
TrueMshangao wa akili za ubunifu za jamaa. Watu wanapata shida kupeleka watoto kujifunza kuogelea ktk hotel n.k. Jamaa katoa mbinu ya kutatua shida kwa watu wenye maeneo madogo kujenga swimming pool. Kweli utajiri, fursa vyote vipo within our reach sema unatakiwa ufikirie kuliko kawaida. Unajiongeza tu.
AsantePolee sana
WeuweHAhahhah kweli eti
Unamwambia dereva aliweke juani au kivulini yani haya mambo ni makubwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Unamwambia dereva aliweke juani au kivulini yani haya mambo ni makubwa
hilo sio swimming pool, kwamaana huwezi ogelea ndani yake, hilo ni sawa na beseni la kuogea tu.Uzuri wa hili swimming pool lina move, una liweka unapo taka
mbizi unapiga kama sema za chini kwa chini.ukileta bwebwe itakua sawa nakupiga mbizi kwenye lamihilo sio swimming pool, kwamaana huwezi ogelea ndani yake, hilo ni sawa na beseni la kuogea tu.
[emoji3] [emoji3]mbizi unapiga kama sema za chini kwa chini.ukileta bwebwe itakua sawa nakupiga mbizi kwenye lami
HtrHii kali