Raha jipe mwenyewe!!!

Raha jipe mwenyewe!!!

Huh ndio mwanzo wa kirikuu kupanda bei,kumbe kina matumizi mengi sana sasa being yake itapaa
 
wazungu kipindi cha summer ndio zao,hata kwenye matipa wanaweka maji wanajiachaia,
 
Huku kwetu itabidi uwe na bunduki ukienda jisaidia tu ukirudi unakuta bonge la foleni ... watu wanajichotea
 
Huku kwetu itabidi uwe na bunduki ukienda jisaidia tu ukirudi unakuta bonge la foleni ... watu wanajichotea
Mkuu uko kwenu inaelekea Kuna shida ya maji sn
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Back
Top Bottom