Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
[emoji3] [emoji3]Aisee...ndani ya kirikuuu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]ilo zuri ata kwa mechi za kwenye maji.unapiga kazi uku linanesa nesa
umeshazielewa ni mechi zipi ee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]
[emoji40]Uzuri wa hili swimming pool lina move, una liweka unapo taka
Cjazielewa mkuuumeshazielewa ni mechi zipi ee
Htrdah! bonge la aidia....
mechi za wakubwaCjazielewa mkuu
Hahaha poleeJamanii Kirikuu yanguu... Yani nipo nangoja dereva alete kipande kumbe ye analia bata?
[emoji41]Safi sana ilo asa kwa mechi uwaga inakua tamu
Cjambo vp wwHii tamu, nitaijaribu.
Hujambo Aishah2016
Hahaha haya baana maandalizi memaNimeipenda hii wacha na mm jmos nifanye hv ....congrats kwke.