Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,763
- 27,154
Kitu gani umefanya siku za karibuni au huwa unafanya mara kwa mara kujipa raha mwenyewe au kupata furaha.
Naanza:
Share na wewe raha zako (labda tutapata kipya cha kujaribu)
Naanza:
- Kufanyiwa oil massage (kukandwa kandwa )
- Tendo la raha / Ngono (Kuna mtu aliniuzia toy humu JF, abarikiwe sana)
- Kusafiri
- Kula nyama
- Kucheza mziki
Share na wewe raha zako (labda tutapata kipya cha kujaribu)