Rage naye anayaharibu tena!: SIMBA ina husiana vp na serikali ya CCM?

simba = CUF, waarabu wengi ni simba na waarabu wengi ni CUF, ndivyo tunavyojua..
 
Rage hajakosea Tanzania ipo chini ya CCM, Simba chini ya CCM, Sisi sote chini ya CCM, CUF, TLP, NCCR, CHADEMA chini ya CCM, Kama utabisha hiyo ndio kawaida ya Wabongo.
 
ccm = simba

We labda huelewi,
Yanga inapopendelewaga na marefa Uwanjani, au katika hali ya kawaida ya Simba kuwabeza Yanga hua wanawakejeli kwa CCM, CCM, CCM.
Yaani Yanga ni timu ya CCM ndio maana inabebwaga. Rage analijua hili fika, kwamba anaongoza timu ambayo mashabiki wake hawaipendi CCM kama ilivyo hawaipendi Yanga, ndio maana kwao kuihusisha Yanga na CCM kama ni kitu kimoja kwao hawaoni tabu.
Basi tu sisi mashabiki wa Simba tunamkaushia tu, ila tu akiendekeza U-Ccm wake tutamng'oa kwani nae anajua wengi wetu sisi Simba hatufagilii Magamba!!
 
Ukitaka kujua watanzania ni watu wa ajabu.. mtu wa aina ya Rage anapewa uongozi tena kwa kuchaguliwa.. Hana cifa za uongozi.. hana busara.. anafikiria karibu.. Rejea kitendo chake cha kupanda jukwaani kule Igunga akiwa na bastola kiunoni.. Vle vle rejea kauli yake akiwa kama mwenyekiti Simba kuwa-encourage wapenzi wa Simba kuwashangilia Zamalek walipocheza na Yanga..
 
Rage we kazana tu na usnitch wako jua kwamba wanamboka tuna hasira na ww na 2015 utapata jibu.
 
....maneno huponza, ingawa ni kweli tz iko chn ya chama cha magamba bado..labda mtueleze nny mko chn ya serkal ya chama gani?
timu yetu simba haipo chini ya chama cha magamba wala chama chochote zaidi ya wanachama wa simba na mashabiki wake, usitake na wewe kupotosha
 
Huyu jamaa simtofautishi na "Zombe", maana naye toka achomoke "ngome" anayoyazungumza hayaeleweki. Mpaka inafikia point najiuliza huwa kuna nini huko mbona wameenda wazima wamerudi tofauti.????
 
Mnachokitafuta sijui ni nini hapa! Serikali ya chama cha mapinduzi na simba sc kuna uhusiano gani? Ndo maana tunaharibu soka letu kwa kuweka siasa. We Rage(al-shabaab) hayo mambo ya ccm hatutaki kuyasikia peleka kwenye maswala yanayohusu timu yetu simba kama umechoka akili kaa pembeni.
 
Acheni wivu wa kike, cdm na nyie anzisheni timu zenu, sio mwenzako alee wewe uende kujipatia sifa za bure

kama ma-genius wako hivi baasi maana ya u-genius iangaliwe upya!! Hii ni kwa kukusaidia,simba sc ilikuwepo hata kabla ya TANU sasa unaposema ccm ndo imeilea na chadema ianzishe ya kwake unamaanisha nn? Acha kuvuja kijana.
 
Jamaa analeta fitina wazi wazi na ccm toka lini ccm wakatumiarangi nyekundu na nyeupe kwenye magamba yake.
 
Sasa huyu msomali na upeo wake woote anashindwa tofautisha ubunge wake wa magamba na uenyekiti wa simba!

Anaongea radio one,eti "ntawanunulia wachezaji wote wa simba suti kama Zawadi ya ushindi wa leo, ili wazivae wakienda huko kwa marudiano, na kila atakae waona huko ajue Hawa ni vijana toka nchi inayoongozwa na chama cha mapinduzi"

Mimi sijui kama wana Simba woote ni wanachama wa magamba,au kama walimchagua mwenyekiti kwa sababu ya uongozi wake kwenye magamba!

Rage punguza uchemfu! Ukiona microphone akili inakuruka au......

Watanzania sisi ni watu wa ajabu sana,regardless Simba ingekua chini ya c.c.m,cuf,cdm au tlp,mwenyekiti wa team kubwa kama Simba ni kauli gani ya k****i hiyo aliyoitoa??ni kukosa point tu huko,sijui ni shule au nini!kwa style hii soka yetu kuendeshwa na watu wababaishaji wasiojitambua na wezi pia,hatutafka popote!Rage inawezekana bado ana athari za kile kifungo cha jela kutokana na wizi wake!mtu alikua mwizi leo amekua mbunge!
 
Duu balaa kweli kweli maana ili waonekane ni vijana wanaotoka nchi inayoongozwa na ccm itabidi suti ziwe za rangi ya kijani na njano! kazi kwa simba kuvaa rangi za yanga, huyu rage anatafuta songombingo.
 
Sasa huyu msomali na upeo wake woote anashindwa tofautisha ubunge wake wa magamba na uenyekiti wa simba!

Anaongea radio one,eti "ntawanunulia wachezaji wote wa simba suti kama Zawadi ya ushindi wa leo, ili wazivae wakienda huko kwa marudiano, na kila atakae waona huko ajue Hawa ni vijana toka nchi inayoongozwa na chama cha mapinduzi"

Mimi sijui kama wana Simba woote ni wanachama wa magamba,au kama walimchagua mwenyekiti kwa sababu ya uongozi wake kwenye magamba!

Rage punguza uchemfu! Ukiona microphone akili inakuruka au......

Mkuu labda alikuwa amehemewa na ushindi wa Simba.
 
mimi ni mwanachama wa simba lakini niseme nakerwa mno na kauli za mwenyekiti! tuvumilie tu amalize muda wake? arudi kwao akaungane na alshabab
 
Uchaguzi ujao huyo msomali atoswe,asiwe kiongozi wa club yetu...kinega mkubwa huyooooooooooo
 
Huyu naya hamnazo kabisa. Simba na CCM wapi na wapi, kama ndiyo akagombee uenyekiti wa yanga huko. Mimi tangu mdogo ninakumbuka yanga ilikuwa inafahamika kama timu ya CCM kutokana na sare, yake na simba daima ilikuwa upinzani. Kuna wakati ilikuwa associated na CUF, na siku za hivi karibu imekuwa associated na CHADEMA. Sasa CCM mbona hata harufu tu haimo. Si bora CHADEMA wana rangi zao nyekundu na nyeupe kwenye jezi ya Simba?

Simba,haifungamani na chama chochote cha siasa!
Itakumbukwa kuwa,Yanga walipolipeleka kombe la ubingwa Bungeni,Mh. Mbowe,Mwenyekiti Taifa Chadema,alitambulishwa kuwa ni mnazi mkubwa wa Yanga,na akapiga picha ya pamoja na wachezaji wa Yanga!
 
Back
Top Bottom