GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
yaani kanikera kweli rage
Acheni wivu wa kike, cdm na nyie anzisheni timu zenu, sio mwenzako alee wewe uende kujipatia sifa za bure
yaani kanikera kweli rage
ccm = simba
Kwani matokeo yakoje?
timu yetu simba haipo chini ya chama cha magamba wala chama chochote zaidi ya wanachama wa simba na mashabiki wake, usitake na wewe kupotosha....maneno huponza, ingawa ni kweli tz iko chn ya chama cha magamba bado..labda mtueleze nny mko chn ya serkal ya chama gani?
Acheni wivu wa kike, cdm na nyie anzisheni timu zenu, sio mwenzako alee wewe uende kujipatia sifa za bure
Sasa huyu msomali na upeo wake woote anashindwa tofautisha ubunge wake wa magamba na uenyekiti wa simba!
Anaongea radio one,eti "ntawanunulia wachezaji wote wa simba suti kama Zawadi ya ushindi wa leo, ili wazivae wakienda huko kwa marudiano, na kila atakae waona huko ajue Hawa ni vijana toka nchi inayoongozwa na chama cha mapinduzi"
Mimi sijui kama wana Simba woote ni wanachama wa magamba,au kama walimchagua mwenyekiti kwa sababu ya uongozi wake kwenye magamba!
Rage punguza uchemfu! Ukiona microphone akili inakuruka au......

Huyu naya hamnazo kabisa. Simba na CCM wapi na wapi, kama ndiyo akagombee uenyekiti wa yanga huko. Mimi tangu mdogo ninakumbuka yanga ilikuwa inafahamika kama timu ya CCM kutokana na sare, yake na simba daima ilikuwa upinzani. Kuna wakati ilikuwa associated na CUF, na siku za hivi karibu imekuwa associated na CHADEMA. Sasa CCM mbona hata harufu tu haimo. Si bora CHADEMA wana rangi zao nyekundu na nyeupe kwenye jezi ya Simba?