Rage na mchango wa udini bungeni

Rage na mchango wa udini bungeni

Goheki

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Posts
447
Reaction score
387
Heshima kwenu wana if,
Siku ya jumatano nilikuwa nikiangalia bunge la Jmt kupitia tbc,nilibahatika kusikiliza baadhi ya michango ya wabunge.
Ilifika zamu ya Rage alianza kumtetea Jk sio mdini kwa kutaja idadi ya mawaziri,wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya.
Kwa kunukuu kwake idadi ya viongozi hao ilionekana Waislam ni wachache sana.
Alichonishangaza ni kusema kwa idadi hiyo aliyoitaja Jk sio mdini.
Nachojiuliza ili Jk awe mdini ni mpaka idadi ya viongozi waislam wawe wengi ndio udini utaonekana?
 
Amani iwe kwenu wote wana JF,Namtetea JK kuwa si mdini na nampongeza kwa kuhimili hali hii ngumu.Kwanza amekuwa mwathirika wa udini na kama angekuwa mdini leo hii angekuwa ameishatimiza matakwa yote ya waislam.Mahakama ya kadhi,OIC ni mojawapo ya hayo matakwa lakini mpaka leo hajaweza kufanya hivyo.Labda niombe mheshimiwa mtoa mada,umesema JK kuwa mdini si kuweka idadi kubwa ya viongozi waislamu je ni yapi yanakushangaza?
 
Kwa kweli bunge linahitaji reform kubwa sana,kanuni nyingi ni useless,hazimsaidii mwananchi wa kawaida ambaye ndie mlengwa na mhitaji mkubwa wa huduma ya mbunge wake.Naona kanuni zinamfavor Speaker,kiasi kwamba analewa madaraka ya kanuni na kuwa dictator,na mdhalilishaji wa wapiga kura wake ambao ni wabunge.Hali hii inapelekea watu kuwa na visasi,kwamba siku nikiwa speaker akina fulani watanikoma,yaani atawadhalilisha.hivi sasa hakuna chama cha siasa kinachotambua uwepo wake bungeni,hali ni mbaya,wezi wanapata mwanya wa kuifilisi nchi kwa maana ya msemo usemao ndugu wakigombana shika jembe kalime.Wakishtuka watakuta hazina peupee,endeleeni tu.
 
Tumewastukia mkibanwa mnabadili hoja, Sasa kama jakaya sio mdini kwenye Uteuzi mnamaanisha mdini kwenye kusambaza Maji na Umeme? Mwisho wa Propaganda Aibu leo unajifanya kumjadili Rage kwani Wassira na Mwandosya si wamesema hivyo hivyo kwanini umeamua kumchagua Rage na kumuacha Wassira,Mwandosya,stella Manyanya na Mwigulu ambao nao wamemtetea Jakaya kuwa sio mdini.Lema kafichua yaliyojificha kwenye vifua vyenu mnashindwa kupambana na CCM mtaweza na Uislam?Mfupa uliowashinda FBI na CIA wataweza kina Lema, selasini na Msigwa?
 
Heshima kwenu wana if,
Siku ya jumatano nilikuwa nikiangalia bunge la Jmt kupitia tbc,nilibahatika kusikiliza baadhi ya michango ya wabunge.
Ilifika zamu ya Rage alianza kumtetea Jk sio mdini kwa kutaja idadi ya mawaziri,wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya.
Kwa kunukuu kwake idadi ya viongozi hao ilionekana Waislam ni wachache sana.
Alichonishangaza ni kusema kwa idadi hiyo aliyoitaja Jk sio mdini.
Nachojiuliza ili Jk awe mdini ni mpaka idadi ya viongozi waislam wawe wengi ndio udini utaonekana?

ninafiri anapepo la matusi na ni mmoja kati ya watu wanao dhani kuwa mwanasiasa mzuri ni yule anyetukana matusi kama lusinde
 
...Lema kafichua yaliyojificha kwenye vifua vyenu mnashindwa kupambana na CCM mtaweza na Uislam?
... Maendeleo ya waumini au dini ni ubunifu binafsi, wala si kutegemea nani yupo madarakani. Endeleeni kuitegemea siasa kufanya maendeleo ya dini, kama ambavyo mlipewa matumaini kwenye ilani ya CCM ya uchaguzi wa mwaka 2005. Sijui mwaka 2015 watawaahidi kitu gani, nasema endeleeni kuitegemea siasa na CCM kuwa itatimiza ahadi inazowapa kila uchaguzi unapokaribia! Nikikumbuka maneno ya JK alivyoruka kuwa sio yeye aliyeweka ahadi ya Mahakama ya Kadhi kwenye ilani ya CCM, nawaonea huruma wanaoendelea kujipa matumaini. Maybe 2015 tutapata muisilamu mwingine wa kumtegemea, au maybe JK ataongezewa muda wa kipindi cha tatu! Wenzenu wanapiga kazi kila idara za umma na private kwa kutumia taaluma zao, ninyi mnasubiri JK awateue, sasa sijui nafasi za kuteua ziko ngapi!
 
nyie si ndo wabunifu siku hizi mmeanzisha mradi wa kuchimbua majini,mashetan na mapepo makanisani kwa njia ya Mpesa na tigo pesa, Uislam umekuwepo kabla ya Tanzania, Hata ikitokea Baraza la maaskof ndo likawa baraza la mawazir na Pengo akawa ndo mkuu wa nchi hakuna mwenye uwezo wa Kuzima nuru ya Allah, mmetakiwa mthibitishe kuwa Jk anawapendelea waislam kwenye uteuzi mkaanza kujambajamba wewe unarudia tena propaganda hizo ambazo waliokufundisha wametakiwa wathibitishe wanaunya unya, Tumia akili kufikiri badala ya kutumia kutunza kumbukumbu za propaganda eti wakristo wako bize wanapiga kazi hivi unadhan tatizo la Unemployment mitaani linawahusu waislam pekee?.wakizungumzwa wakristo msipende kuwaangalia wa Masaki pekee hata wale wasiojuwa kusoma na kuandik kule Ilulangulu Tabora, wanaochuna ngoz kule tukuyu au kuuwana kule Tarime wote ni wakristo wenzenu mnaojidai eti mmesoma na mnaakili sana!
 
Amani iwe kwenu wote wana JF,Namtetea JK kuwa si mdini na nampongeza kwa kuhimili hali hii ngumu.Kwanza amekuwa mwathirika wa udini na kama angekuwa mdini leo hii angekuwa ameishatimiza matakwa yote ya waislam.Mahakama ya kadhi,OIC ni mojawapo ya hayo matakwa lakini mpaka leo hajaweza kufanya hivyo.Labda niombe mheshimiwa mtoa mada,umesema JK kuwa mdini si kuweka idadi kubwa ya viongozi waislamu je ni yapi yanakushangaza?

mkuu kama kutimiza ahadi ya KADHI ni udini basi JK ni mdini aliyekubuhu kwani yeye ndiye aliyeweka KADHI katika sera za ccm kwenye kampeni.
 
nyie si ndo wabunifu siku hizi mmeanzisha mradi wa kuchimbua majini,mashetan na mapepo makanisani kwa njia ya Mpesa na tigo pesa, Uislam umekuwepo kabla ya Tanzania, Hata ikitokea Baraza la maaskof ndo likawa baraza la mawazir na Pengo akawa ndo mkuu wa nchi hakuna mwenye uwezo wa Kuzima nuru ya Allah, mmetakiwa mthibitishe kuwa Jk anawapendelea waislam kwenye uteuzi mkaanza kujambajamba wewe unarudia tena propaganda hizo ambazo waliokufundisha wametakiwa wathibitishe wanaunya unya, Tumia akili kufikiri badala ya kutumia kutunza kumbukumbu za propaganda eti wakristo wako bize wanapiga kazi hivi unadhan tatizo la Unemployment mitaani linawahusu waislam pekee?.wakizungumzwa wakristo msipende kuwaangalia wa Masaki pekee hata wale wasiojuwa kusoma na kuandik kule Ilulangulu Tabora, wanaochuna ngoz kule tukuyu au kuuwana kule Tarime wote ni wakristo wenzenu mnaojidai eti mmesoma na mnaakili sana!

na wengine wapo kule geita wanawaficha watoto wao wasiende fom1 ili wachunge ng'ombe!!....ni masikini typically,ana ng'ombe 300 analala kwenye kibanda cha nyasi kinachofanana na zizi la ng'ombe!!
 
Heshima kwenu wana if,
Siku ya jumatano nilikuwa nikiangalia bunge la Jmt kupitia tbc,nilibahatika kusikiliza baadhi ya michango ya wabunge.
Ilifika zamu ya Rage alianza kumtetea Jk sio mdini kwa kutaja idadi ya mawaziri,wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya.
Kwa kunukuu kwake idadi ya viongozi hao ilionekana Waislam ni wachache sana.
Alichonishangaza ni kusema kwa idadi hiyo aliyoitaja Jk sio mdini.
Nachojiuliza ili Jk awe mdini ni mpaka idadi ya viongozi waislam wawe wengi ndio udini utaonekana?

Kwa kuwa Lema ni Mkristo na ndiye aliyetoa mada hiyo Rage anadhani Lema alimtuhumu JK kuwa mdini kwa kuwapendelea Waislam, kifupi amemsaidia Lema kutoa uthibitisho.
 
Aisee kumbe Chadema wanapambana na Uislam asante kwa kunisaidia kujua hawa wahuni.Jamii ya kislamu itawafundisha.
Tumewastukia mkibanwa mnabadili hoja, Sasa kama jakaya sio mdini kwenye Uteuzi mnamaanisha mdini kwenye kusambaza Maji na Umeme? Mwisho wa Propaganda Aibu leo unajifanya kumjadili Rage kwani Wassira na Mwandosya si wamesema hivyo hivyo kwanini umeamua kumchagua Rage na kumuacha Wassira,Mwandosya,stella Manyanya na Mwigulu ambao nao wamemtetea Jakaya kuwa sio mdini.Lema kafichua yaliyojificha kwenye vifua vyenu mnashindwa kupambana na CCM mtaweza na Uislam?Mfupa uliowashinda FBI na CIA wataweza kina Lema, selasini na Msigwa?
 
Tumewastukia mkibanwa mnabadili hoja, Sasa kama jakaya sio mdini kwenye Uteuzi mnamaanisha mdini kwenye kusambaza Maji na Umeme? Mwisho wa Propaganda Aibu leo unajifanya kumjadili Rage kwani Wassira na Mwandosya si wamesema hivyo hivyo kwanini umeamua kumchagua Rage na kumuacha Wassira,Mwandosya,stella Manyanya na Mwigulu ambao nao wamemtetea Jakaya kuwa sio mdini.Lema kafichua yaliyojificha kwenye vifua vyenu mnashindwa kupambana na CCM mtaweza na Uislam?Mfupa uliowashinda FBI na CIA wataweza kina Lema, selasini na Msigwa?

Mimi bado sielewi elewi juu ya Jambo hili la udini! Ndugu zetu au wenyewe tunapoishiwa damu na damu inahitajika hivi kuna mtu anakumbuka kuuliza hii damu ni ya Mkristo au Muislamu? tukipata ajali kunaanaye kumbuka kuuliza daktari anayemtibu ni Mwislamu au Mkristo? Mbona huku mitaani hatubaguani? Halafu hata huko Bungeni mbona hakuna sehemu ya kukaa waislam pekee na wakristo pekee?
 
Kama vile ccm inavyopambana na kuwagandamiza wakristo nasi jamii ya kikristi itwaonyesha
 
nashukuru kwa uthibitisho wko, kumbe n kwel mnaipigania chadema il iwanyonye watu wa din flan? Ndo maana mkaweka padre agombee baada ya kuona mchungaj mtikila hana nguv...?
 
tuombe upeo wa mungu kujudge mambo,binadamu tuna silika ya kujipa haki sana na ni kwa vile ni wabinafsi nakushukuru Muumba maana huoni kama tunavyoona kwani hakuna ambae angecma..GLORY 2 OUR ALMIGHTY GOD N ALWAYS B GREAT
 
Cpat picha kama ingekua bungen kuna watu wana majina ya sheikh/ustadhat flan jins ambavyo wangekua mjadala kwa christians wa nchi hii, mbona kna wachungaj wabunge au waliowachagua n wakristo peke yao?, wagombea urais padre (slaa)&mchungaj(mtikila)? Mbona hatuckii kuitwa udin?? Na uktaka kujua kna nan wadini ngoja acmame mgombea kwa "cheojina" ustadh/sheikh ndo uone balaa hata kama anagombea udiwan, thnk dply bhana!
 
Tatizo wakristo wanaishi kwa hofu
 
mkuu kama kutimiza ahadi ya KADHI ni udini basi JK ni mdini aliyekubuhu kwani yeye ndiye aliyeweka KADHI katika sera za ccm kwenye kampeni.

Mkuu Hoja ya Kadhi hajaileta JK.Hoja hii ni ya CCM kwa kudhani wanawapoza waislamu kwa maovu waliyowafanyia. Naomba nikukumbushe Historia kidogo.Kadhi alikuwepo kipindi tunapata uhuru.Lakini kwa fitina za ''Mwenyeheri'' na wenzake waliua taasisi zote nyeti za kiislamu.
 
Back
Top Bottom