Rage na mchango wa udini bungeni

Rage na mchango wa udini bungeni

ikitaka.
Heshima kwenu wana if,
Siku ya jumatano nilikuwa nikiangalia bunge la Jmt kupitia tbc,nilibahatika kusikiliza baadhi ya michango ya wabunge.
Ilifika zamu ya Rage alianza kumtetea Jk sio mdini kwa kutaja idadi ya mawaziri,wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya.
Kwa kunukuu kwake idadi ya viongozi hao ilionekana Waislam ni wachache sana.
Alichonishangaza ni kusema kwa idadi hiyo aliyoitaja Jk sio mdini.
Nachojiuliza ili Jk awe mdini ni mpaka idadi ya viongozi waislam wawe wengi ndio udini utaonekana?
LOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOo
hebu soma hii
“Hivi kweli ni kuchinja au kuna mkono wa siasa?”
Alihoji mwandishi namtuma ujumbe huo. Hoja ya msomaji huyu ni kuwa kama ingekuwa kuna mgogoro kwa upande wa Wakristo kula nyama iliyochinjwa na Muislamu b i l a s h a k a K a d i n a l i Rugambwa asingeruhusu M u i s l a m u k u c h i n j a ng’ombe wa kuliwa katika sherehe yake. Kwa usomi wake wa Biblia na Ukristo kwa ujumla uliopelekea k u p e w a U a s k o f u n a Ukadinali, hatudhani kuwa hakuwa anajua mwongozo wa Kikristo katika kuchinja na kula nyama. Kwa hiyo, ni wazi kuwa kama ni mgogoro, hili ni suala la kutengenezwa na serikali na kanisa katoliki ndiyo inaweza kulimaliza mgogoro huu.
 
Back
Top Bottom