Rage: Hivi Haya Ni Kweli Jamani?

mke wake ni msomali pure namfahamu vzr sana alipokuwa anaishi pale samora avenue opposite na tanesco. Sijui kama wamehama.
Msomali yule aondoke Eminaz Mansion ndani ya Samora halafu ahamie wapi tena? Pita pale ulione Hummer lake limepaki nje pale.
 
Hawa jamaa wabaguzi kweli,kwa mfano matajir wengi wa kisomali wanaomiliki magari ya mizigo huajiri madreva wasomali wenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini umeileta habari hi humu ?! Anza wewe Kwanza...tueleze wazazi wako ni makabila gani na pia dini zao
 
Tatizo sio kuwa watanzania wenye asili ya Somalia Ila mtu Kama bashe na wengineo akiwemo yule aliyetaka kugombea urais bado wanajihusisha directly na Mambo ya Somalia Kuna pesa nyingi chafu za Somalia zimetakatishwa nchini fatilia kariakoo kwenye maduka ya computer na it wamekaa wengine hawajui hata kiswahili pia fatilia biashara wanazoshiriki za real estate hata biashara za wahamiaji haramu ambazo zilikuwa zinamhusisha mmiliki wa Tansoma bila kusahau ujangili
 
Wasomali wa Tabora walikuwa wachuuzi wa ng'ombe na mbuzi minadani, Wamasai wafugaji hawakuwepo Tabora ila Watusi wafugaji walikuwepo, inawezekana mzee Rage alitorosha huko Arusha akiwa kwenye biashara yake na kukimbilia kujificha Tabora na mke wake Wamasai wasimuone. Miaka ya 50 Wamasai hawakuwepo Tabora na pia mikoa mingine, waliridhika umasaini. Wamasai walianza kusambaa miaka ya sabini na mkoa wao wa kwanza ulikuwa Morogoro. Kujua lugha vizuri si kigezo kwani Tabora walikuwepo waarabu walikuwa wanaongea kinyamwezi vizuri sana kuliko vijana wa kinyamwezi.
Hitimisho, ukizaliwa nchini na wazazi wako wote si wananchi wewe utakuwa mwananchi wa kuzaliwa na hautaweza kutoka nchini bila pasipoti, hivyo Rage ni mwananchi.
 
Mkuu kwani kuhoji uraia wa mtu ndiyo kumbagua?Ukiona wageni wanaingia nchini kinyume na taratibu za nchi na ukaamua kuhoji huo ni ubaguzi?
Una ugomvi na Mh.I.A.Rage?Huyu si aliwahi kuwa mbunge,kiongozi wa chama kubwa...? na President wa Mnyama? Inawezekanaje mtu ambaye siyo RAIA wa Tanzania akashika nyadhifa zote hizi na asijulikane?Vyombo vyetu ni dhaifu kiasi hicho?Nani alaumiwe kwa makosa kama hayo?
Nchi hii imekuwa chini ya serikali za CCM karibia miaka 60,ila ukuaji wake hauendani na umri huo.Kuna udumavu mkubwa katia makuzi kwa sababu ya walezi kutotuthamini na wanaendelea kujineemesha wao.
Tudai Katiba ya Wananchi tuanze upya kujijenga kama Taifa Huru.
 
Waethiopia na waelitrea nao wabaguzi sana wanajiona wao sio waafrica kwa sababu ya nywele zao,Ukiwakuta Europe wameshakula Burger wamenenepa wanadharau kinoma
 
Hapa brother, umetema madini mazuri sana, nadhani umeweza kuwatoa tongotongo watu wenye fikra potofu juu ya watanzania wenzetu wenye asili za nje ya Tanzania.
 
Mimi kila siku nasemaga CCM inasaidiwaga na jeshi la wahamiaji haramu

Warundi Wasomali Wanyaru hadi Wazairwaa na Wanyasa
Bila Wahamiaji haramu na mapoliccm CCM ni wepesi kama karatasi
Tundu Lissu 2020
 
Mimi kila siku nasemaga CCM inasaidiwaga na jeshi la wahamiaji haramu

Warundi Wasomali Wanyaru hadi Wazairwaa na Wanyasa
Bila Wahamiaji haramu na mapoliccm CCM ni wepesi kama karatasi
Tundu Lissu 2020
Kuna ukweli hapa! Haiwezekani wasiojulikana wasijulikane! Kwa vyovyote Kuna anaewajua na kuwalinda!
Ni wakati muafaka wa kuipigania nchi yetu kutoka kwa Hawa wakoloni weusi! Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ndio dawa kwa Sasa!
 
Comment bora kabisa ya mwaka 2012. Watanzania ni wamoja bila kujali rangi, kabila, dini na itikadi zetu. Wapo watanzania wengi wenye asili ya nje (wahindi, waarabu, wazungu na wasomali) lakini ndiyo wenye mchango mkubwa katika uchumi, elimu na siasa zetu.
Kemea ubaguzi, Dumisha amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote wanaopinga hii hoja ya kuhoji uraia ni WAPAMBE wake, ndiyo maana wanataka nchi ishikwe na wakimbizi kama watz original hawana akili!! wanatoa povu kutetea bila sababu!!! kunaubaguzi gani hapo?
Ndiyo maana kila wakisimama kwenye majukwaa wanahutubia kilugha ili kuwaaminisha WANANCHI kuwa ni wenzao,kumbe ni wahutu PURE,kuhusu Ndugu Rage,yeye ni msomali wa wa Tabora pale mtaa wa Rufita,hata kwao alipozaliwa panajulikana na anaishi na ndugu zake hapo kwao,na mimi huwa nafikia kwenye moja ya nyumba yake ya kulala wageni,ijulikanayo VOT,ambayo ipi jirani na kwao,ni mtanzania mwenzetu mwenye asili ya Somalia.
 
Good insight.... wenye vyombo vya usalama watakuwa wanalijua hili kama lah walau wanaweza fanyia kazi kuanzia sasa.

Naunga mkono hoja.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu ya Somali kuwa ilivyo sasa(Vita) ni ubaguzi, Kipindi hicho walikuwa wanabaguana kwa Koo zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…