Rage funga redio yako, sio wote ni CCM

Rage funga redio yako, sio wote ni CCM

Hili neno uzawa limenajisiwa!mtu ni mtanzania basi inatosha lyatonga aliwahi kuwa mbunge wa temeke sasa uzawa uzawa uzawa aaah.
 
Ikiwa Mwakasaka si mwenyeji wa Tabora je Rage Msomali ni mwenyeji wa nchi gani:bathbaby:
 
Sababu Mwakasaka sio mzaliwa maeneo haya ya Tabora ndio shida inapoanzia
Kweli misemeo ya kizungu inafurahisha, hapa wanasema 'whatever goes around comes around', wangelikuwa na IQ inayofikia hata 5 wangelimuangalia Dr. Mahanga jinsi dhambi aliyomfanyia Mpendazoe 2010 inavyomtesa hadi sasa. Watanzania wamewasema sana watu wa Tabora kwa kosa walilofanya 2010 na bora wamejirekebisha.
Kwani yeye Rage ni mzaliwa wa wapi ...Tabora!???

 
Habari gani wandugu,

Baada ya kushindwa vibaya katika uchaguzi wa CCM wa kura za maoni na Emmanuel Mwakasaka sasa wapambe pamoja na watangazaji wake wa kituo cha radio VOT wanatukana wanakashifu,wanadhihaki watu wa Tabora hasa kabila la Wanyamwezi kwa maneno makali kabisa kwa mihemko ya kupigwa chini mgombea na mmiliki wa redio hiyo RAGE.

Sababu Mwakasaka sio mzaliwa maeneo haya ya Tabora ndio shida inapoanzia

TCRA iangalieni hii Redio sio kama Wanyamwezi wote wanaotukanwa ni CCM


OVER
Rage ni mzaliwa?
 
Kimachowakuta hawa wagombea wa CCM ni matunda ya TBCCM,walirusha BUNGE na raia wakaona
 
Hivi viredio vingine ndio maana siviskilizagi... watu hawana taaluma kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom