Rage funga redio yako, sio wote ni CCM

zugimlole

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,073
1,342
Habari gani wandugu,

Baada ya kushindwa vibaya katika uchaguzi wa CCM wa kura za maoni na Emmanuel Mwakasaka sasa wapambe pamoja na watangazaji wake wa kituo cha radio VOT wanatukana wanakashifu,wanadhihaki watu wa Tabora hasa kabila la Wanyamwezi kwa maneno makali kabisa kwa mihemko ya kupigwa chini mgombea na mmiliki wa redio hiyo RAGE.

Sababu Mwakasaka sio mzaliwa maeneo haya ya Tabora ndio shida inapoanzia

TCRA iangalieni hii Redio sio kama Wanyamwezi wote wanaotukanwa ni CCM


OVER
 
...safari hii amekuja kivingine..? amesahau bastola yake..?
 
Acha kubwabwaja. Recodi kipindi peleka ushahidi tcra. Vinginevyo, unaleta majungu.
 
Rage anajifanya hajui historia ya jimbo la Tabora mjini, jimbo hilo ni la 5 yrs only, alikuwepo Prof mgombero, marehemu kaboyonga, yeye mwenyewe Rage anajua kwamba alipewa only 5 yrs,
 
Rage anajifanya hajui historia ya jimbo la Tabora mjini, jimbo hilo ni la 5 yrs only, alikuwepo Prof mgombero, marehemu kaboyonga, yeye mwenyewe Rage anajua kwamba alipewa only 5 yrs,

Sidhani hata kama ilani ya CCM alifikisha asilimia 50
 
Hajafanya chochote, na redio yake within 3yrs, hakuna jipya. Zaid hajafanya jipya Tabora, analalamika coz kapoteza ugali. hahahahaaaa
 
Arudi agombee simba hahaaaa Msomali Yule anajidai utafikilia nae mzawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom