Kwani rage ni mwenyeji wa hapo kiukweli?
Habari njema rage kushindwa maana huwa hana hoja za msingi bungeni
Ni msomalimnyamwezi...kama kapigwa chini mtamsikia simba sport club au TFF...KWA WADANGANYIKAKwani rage ni mwenyeji wa hapo kiukweli?
Arudi agombee simba hahaaaa Msomali Yule anajidai utafikilia nae mzawa