Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,770
- 10,665
Viongozi wa nchi hamfikirii
Mahakama hamfikirii
Tume ya Uchaguzi hamfikirii
Usalama wa nchi hamfikirii
Hamfikirii kwamba tunapanda mbegu inayoenda kulimaliza hilo taifa kwa maslahi ya watu wachache mno ambao in next 15 to 20 years huenda wakawa mavumbini based on WHO life expectancy extracts
Ndugu yetu Rais Samia na kikundi chake ana breach constitution ya nchi, ana breach constitution ya
chama chake - hii ni mbegu mbaya sana inayopandwa dhidi ya katiba ya URT.
Quran na Biblia sio misingi ya Taifa letu, Msingi wa TAIFA letu ni KATIBA... in fact Katiba ipo juu ya Quran na Biblia.... that should be clearly understood.
Je inakuaje tunakuwa na Rais asiyeisoma na kuijua katiba ya nchi na chama chake itakavyo?
1. Samia na kundi la wachache anavunja katiba ya URT kwa kuanza mchakato wa kupata mgombea January badala ya August.
2. Samia anaivunja katiba ya CCM kwa kujiteua yeye mwenyewe kuwa mgombea pekee wa Urais kinyume na utaratibu
3. Pamoja na mambo mengine ambayo tuseme yapo kikatiba kama Anateua DG NEC , na timu ya usimamizi wa Uchaguzi
Ukisoma huu mlolongo utaona ni rafu nyingi sana zimepigwa , unajiuliza huyu mtu anaendaje kuwa Rais wa Mfano wa halali wa URT mbele ya watanzania !
Bado tunajiuliza hizi rafu zote anazocheza ni kwa maslahi ya Nani?
Kwa sababu hayawezi
Kuwa ni maslahi ya nchi hata kidogo ....Je ni Nani yupo nyuma ya huu umafia wote wa kuidhalilisha na kuipunguzia power the Constitution of URT ? ni nani na kwa maslahi gani?
Je ni sawa TAIFA kuwa na Rais ambae haheshimu katiba ya nchi ?
na wala haheshimu katiba ya chama chake, ?
Rais kama huyu anatoa taswira gani au anakaribisha ovu gani kwenye taifa letu.?
Muongozo wa Rais ni katiba ya URT na chama chake..... vyote kavifanya toilet paper .....
haijawahi kutokea tangu Mwalimu hadi JPM kuwa na Rais akafanya tuone katiba ya URT kumbe sio kitu ni maandishi tu na unaweza kuya twist for own interest..... !!!⁉️‼️
hivo hivo kwa katiba ya CCM
Mimi nadhan Jameni, turudi nyuma hatua moja na KUTAFAKARI kwa maslahi ya TAIFA ....hii mbegu dhidi ya KATIBA mbili ni mbaya sana.... tusije kuzalisha mtu kama kagame au MUSEVENI baadae:
POWER, ‼️ ina ADDICTION mbaya zaidi ya Cocaine or Opium or Psychotropic drugs .
Antidote pekee ya Power Addiction syndromes ni KATIBA IMARA ya NCHI na CHAMA , katiba yenye kuheshimika na yeyote.
La Mwisho lakini ambalo sio la mwisho kabisa, Inawezekana hata MUHUSIKA hajui impact ya anachokifanya; Aelimishwe, na kurudishwa kwenye utaratibu RASMI kama ilivyo kwa watangulizi wake chini ya a guiding document yaani KATIBA MBILI( URT+ Chama chake)
Otherwise, mnaopiga vigelegele, mjiandae na kuja kulia , vizazi vinaona, uzao unaona. The Kagame, the Museveni ni aftermath ya weak constitution !
Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi
PhD Fellow ( WHO)
University of Ottawa, Medical Oncology Divison
Rue 52, Canada