Sisi woote hapa jf ni rafiki zako. Ukiwa na huzuni ama furaha tushirikishe. Nawe usikose kushiriki kwenye zetu kwa njia ya maandishi.
Habari zenu wana Jf napenda kutafuta marafiki
unapenda kutafuta marafiki.
Nalog off
Mimi si rafiki yenu. Shika adabu yako.
Mimi ni babu.
King'asti!Sisi woote hapa jf ni rafiki zako. Ukiwa na huzuni ama furaha tushirikishe. Nawe usikose kushiriki kwenye zetu kwa njia ya maandishi.
Mimi si rafiki yenu. Shika adabu yako.
Mimi ni babu.
Huo urafiki tuu,akiomba kuwa mpenzi wako itakuwaje?Mimi nipo Tayari kuwa rafiki lakini mmmh
jiandaa kuombwa voucher kuninunulia mtori asbh kunipeleka kutembea.kunununulia Azam ice cream.
Jiandaa kwa mizingaa ya kutosha.
Mimi si rafiki yenu. Shika adabu yako.
Mimi ni babu.
Mbona hakuna tatizo,karibu sana,samahani kama umenitafsiri vibaya.Kwnai tatizo liko wapi ndg, tena ww ndo rafiki mkubwa
Naweza kuwa rafiki na wajukuu lakini si wajukuu janjajanja..... wanaweza kukuvua msuli wakati unaukwea mnazi LOL.......... Sijui kwanini nna hasira na wewe namna hii.kwani babu hawezi kuwa rafiki......
yani wewe
Sijawakana, hebu leteni Gines baridi kwenye meza ya babu muone jinsi babu alivyo rafiki mwema kwa wajukuu watiifu.Tunasikitika kuona babu unaukana urafiki wa wajukuu wako kwako
Naweza kuwa rafiki na wajukuu lakini si wajukuu janjajanja..... wanaweza kukuvua msuli wakati unaukwea mnazi LOL.......... Sijui kwanini nna hasira na wewe namna hii.
Sijawakana, hebu leteni Gines baridi kwenye meza ya babu muone jinsi babu alivyo rafiki mwema kwa wajukuu watiifu.