Rafiki yangunaitaji msaada kwa tatizo hili

Rafiki yangunaitaji msaada kwa tatizo hili

mkuu inaonyesha hiyo mashine bado haijatumika au imetumika kidogo sana, hivyo muda mwingi unatamani ku kwichi lakini labda u domo zege au vinginevyo.
tafuta rafiki wa kike akupunguzie hilo tatizo au jiweke busy sahau kuwaza ngono[emoji12][/Q asante kwa ushauri Ila hii mashine bado mpya imetumika kidogo nakila napo test kwenye (k) kikwakwalu ulalamika wanaumia tu
 
Vumilia tu ukioa utaona shida yote itaisha..
 
sabuni huna au hata mate unakosa

hili kweli la kuomba ushauri ??
Sina experience nakutumia hivyo vitu mate zaidi ya kulainishia chakula na sabuni kwa kuoshea kufulia na kuogea
 
Habari natumaini ni wazima kila mmoja Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 25 ndugu zangu kwa wataalamu naomba mnisaidi hii hali utokana na nini uume wangu usimama na kuvuta kwanguvu sana ninapo lala uvuta kiasi cha kwamba misuli ya uume uuniuma na kunikosesha usingizi uume unapo simama je nini kinacho nikabiri
Tafuta mke sasa
 
Back
Top Bottom