Rafiki yangunaitaji msaada kwa tatizo hili

Kijana Jr

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
564
Reaction score
889
Habari natumaini ni wazima kila mmoja Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 25 ndugu zangu kwa wataalamu naomba mnisaidi hii hali utokana na nini uume wangu usimama na kuvuta kwanguvu sana ninapo lala uvuta kiasi cha kwamba misuli ya uume uuniuma na kunikosesha usingizi uume unapo simama je nini kinacho nikabiri
 
jaribu kukanda na maji moto changanya na unga wa mdalasini
 
Habari natumaini ni wazima kila mmoja Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 25 ndugu zangu kwa wataalamu naomba mnisaidi hii hali utokana na nini uume wangu usimama na kuvuta kwanguvu sana ninapo lala uvuta kiasi cha kwamba misuli ya uume uuniuma na kunikosesha usingizi uume unapo simama je nini kinacho nikabiri
Madhara ya kutokuwa na mpenzi au hali ngumu ya maisha

Usitafute mchawi zaidi ya huo uzi wako hapo juu....
Nakushauri ujiunge na chaputa
 
mkuu inaonyesha hiyo mashine bado haijatumika au imetumika kidogo sana, hivyo muda mwingi unatamani ku kwichi lakini labda u domo zege au vinginevyo.
tafuta rafiki wa kike akupunguzie hilo tatizo au jiweke busy sahau kuwaza ngono[emoji12]
 
sabuni huna au hata mate unakosa

hili kweli la kuomba ushauri ??
 
Habari natumaini ni wazima kila mmoja Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 25 ndugu zangu kwa wataalamu naomba mnisaidi hii hali utokana na nini uume wangu usimama na kuvuta kwanguvu sana ninapo lala uvuta kiasi cha kwamba misuli ya uume uuniuma na kunikosesha usingizi uume unapo simama je nini kinacho nikabiri
Kajifunze kwanza kuandika vizuri:

- Utokana = Hutokana
- Usimama = Husimama
- Uvuta = Huvuta
- Uniuma = Huniuma
 
Tafuta mke kabila LA kihaya tatizo litakwisha. Wahaya wanapenda ngono Mara kwa mara
 
Back
Top Bottom