lusanasaimon
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 108
- 264
asante ushauli wako ni mzuriAmwambie huyo single mother kua sharti lake la kumuoa inabidi aache kunywa pombe,na asimamie msimamo wake kama Mwanaume,
Kama single mother atashindwa kutimiza matakwa ya huyo rafiki yako basi hapo ndio ampige chini.
Toka haraka sana hapo njiapanda tayari taa zimesharuhusu magari kupita....[emoji124]nina rafikiangu yeye amekuja kuniomba ushauli
iko hivi yeye (rafikiangu) aliamua kuondoka kwenda mkoa x kujitafuta baada ya kumaliza kidato cha nne na kukaa mtaani kwao bila muelekeo wowote,
anasema mungu si asumani alipofika huko alijichanganya na kufanya shugli mbali mbali akafanikiwa kufungua kigoli (biashara) x. na katika mihangaiko hiyo alikujaga kupendana na mwanamke mmoja ambae ni single mother wa mtoto mmoja na wame hustle wote kwa muda wa miaka mitatu,
na waliamua kuishi pamoja ili kupunguza bajeti ya kila mtu kupanga chumba chake ingawa hajawahi kwenda kujitambulisha kwao na mwanamke pamoja na mwenzake kumsumbua kuhusu hilo,
na jamaa anadai huyo mwanamke yuko vizuri na anampenda kwa sababu wamekua wanasaidiana na kuvumiliana kwa vingi isipokua huyo mwanamke amekua na tabia ya kutumia pombe na jamaa hapendi na amekwisha muonya na kumshauri aache lakini mwanamke hasikii, na jamaa anashindwa kumpiga chini kwasababu mwanamke anampenda sana na wamesota sana mpaka jamaa kusimama kiuchumi si haba.
sasa issue imekuja baada ya jamaa majuzi kutembelea nyumbani kwa wazazi wake anadai wamemsakama sana kuhusu kuoa wanadai amekua sasa, na amewaficha kama ana ishi na mwanamke kwasababu anahisi hatoweza kutimiza ahadi za kumuoa kwa sababu kadhaa pamoja na hilo la pombe. kibaya zaidi wameamua kumtafutia mchumba kabisa anadai ni kabinti kazuri tuu
sasa anaomba ushauli atumie njia gani yakumuacha huyo mwanamke bila kumsababishia maumivu ?
najua kuna watu humu wamesha wahi kuyapitia haya
karibuni kwa maoni yenu
ushauri gani tena unataka ilihali maamuzi unayo tayarijamaa anashindwa kumpiga chini kwasababu mwanamke anampenda sana
We umejuaje kwamba ana gari? Utani tuToka haraka sana hapo njiapanda tayari taa zimesharuhusu magari kupita....[emoji124]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Haiwezi ikawa 1-1 bali ni 2-1. Ukiwahiwa umewahiwa tu. Labda na yeye afanye kama jamaa mumoja jirani yanguMiaka mitatu umeshindwa kuongeza mtoto mwingine ili iwe 1-1 bora tu upigwe hakuna namna
nina rafikiangu yeye amekuja kuniomba ushauli
iko hivi yeye (rafikiangu) aliamua kuondoka kwenda mkoa x kujitafuta baada ya kumaliza kidato cha nne na kukaa mtaani kwao bila muelekeo wowote,
anasema mungu si asumani alipofika huko alijichanganya na kufanya shugli mbali mbali akafanikiwa kufungua kigoli (biashara) x. na katika mihangaiko hiyo alikujaga kupendana na mwanamke mmoja ambae ni single mother wa mtoto mmoja na wame hustle wote kwa muda wa miaka mitatu,
na waliamua kuishi pamoja ili kupunguza bajeti ya kila mtu kupanga chumba chake ingawa hajawahi kwenda kujitambulisha kwao na mwanamke pamoja na mwenzake kumsumbua kuhusu hilo,
na jamaa anadai huyo mwanamke yuko vizuri na anampenda kwa sababu wamekua wanasaidiana na kuvumiliana kwa vingi isipokua huyo mwanamke amekua na tabia ya kutumia pombe na jamaa hapendi na amekwisha muonya na kumshauri aache lakini mwanamke hasikii, na jamaa anashindwa kumpiga chini kwasababu mwanamke anampenda sana na wamesota sana mpaka jamaa kusimama kiuchumi si haba.
sasa issue imekuja baada ya jamaa majuzi kutembelea nyumbani kwa wazazi wake anadai wamemsakama sana kuhusu kuoa wanadai amekua sasa, na amewaficha kama ana ishi na mwanamke kwasababu anahisi hatoweza kutimiza ahadi za kumuoa kwa sababu kadhaa pamoja na hilo la pombe. kibaya zaidi wameamua kumtafutia mchumba kabisa anadai ni kabinti kazuri tuu
sasa anaomba ushauli atumie njia gani yakumuacha huyo mwanamke bila kumsababishia maumivu ?
najua kuna watu humu wamesha wahi kuyapitia haya
karibuni kwa maoni yenu
kwanza kabisa asije kuthubutu kumpiga huyo mumama mlevi alielewa, hali ya kua yeye hatumii kilevi na hajalewa.nina rafikiangu yeye amekuja kuniomba ushauli