Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,163
Aliondoka Tanzania mwaka 1995 kuelekea Greece. Amejiweka vizuri kwa biashara zake ndogo ndogo na kazi za part time.
Mwaka jana alifuatwa na polisi wakamuweka ndani na kuchukua simu yake. Kumbe polisi lwenye system zao wameona anarushia wenzake video za watoto wakifanya ngono.
Ile kesi iliendelea kwa mwaka mzima. Juzi ameitwa mahakamani baada ya hapo sikujua kinachoendelea. Kumbe amekutwa na hatia na sasa ni mfungwa huko Ugiriki.
Tujiepushe na picha za ngono za watoto kama una mazoea hayo.