mimi binafsi nilimshauri ajaribu kushirikisha na ndugu zake wasije kujua baadae sana hata ikifika time ya kusaidiana lawama zisiwe nyingi sana kiasi cha kumchanganya akiliKwahiyo wewe unayejua uhalisia umechukua hatua gani?
Au hatua yako ndiyo hiyo kuona huruma?
nahisi muonekano na kumshauri nishamshauri ni yeye tu ndo aamue nn afanyeWamependa nini kwa rafiki Yako?
Muonekano au Pesa?
Mbona wamejibebesha mimba chapchap hivo.
Ila mashemeji nyie sio watu wazuri.
Mshauri ampende sana huyo dada mwenye mipango.
Heshimu mashemeji, ndio wanajua kama jamaa yao atakuoa au anapita tu.Ila mashemeji nyie sio watu wazuri.
Mshauri ampende sana huyo dada mwenye mipango.
huyo mshangazi anadai ulikuw hauna uwezo wa kushika mimba ko ety na yeye ameshangaa kapata mimba sema ni mtu ambaye anakazi tayarMiaka minne ni mingi Real Mamy, kwa huyo wa kwanza its resoanable.
Ila huo mshangazi alioupata kwenye ajira mpya itakuwa alikuwa amejikatia tamaa kwo akapata wa kumtegeshea sasa hahahha
Tatizo hawasemi.Heshimu mashemeji, ndio wanajua kama jamaa yao atakuoa au anapita tu.
Ila wadada sie 😅nahisi muonekano na kumshauri nishamshauri ni yeye tu ndo aamue nn afanye
Hatuwezi kumsaliti mwanetu. Misifa tutakupa tu, ila mambo yenu mtajuana wenyewe.Tatizo hawasemi.
Na mimi sitaki shemeji anaenisifia kinafiki.
Salamu inatosha tu.
Story kama hii nishawahi kuishuhudia hapa kwetu, hivi wanaume wa hivi huwa wanajielewa kweli na wanaweza kuwa mume? MmhNina rafiki ambaye alimpa mimba msichana aliyekuwa akiishi naye kwa takribani miaka 3 hadi 4. Baadaye alipata kazi mbali na eneo walilokuwa wanaishi.
Alipofika kwenye eneo lake jipya la kazi, alianza uhusiano na mwanamke mwingine. Ingawa walikuwa kwenye uhusiano huo kwa muda mfupi tu, mwanamke huyo naye alipata ujauzito.
Tofauti ya muda kati ya ujauzito wa mwanamke wa kwanza na wa pili ni takribani miezi 2 hadi 3 tu. Lakini huyo mwanamke wa sasa hivi nahisi kuna namna anamuendesha sababu huyo mwanamke kamzidi jamaa yangu almost miaka 12 hvi jamaa anae 25 mama ina 37 ko ni parefu kinamna flan hivi.
Wote hawafahamu kitu chcochote juu ya uwepo wa mwenza ila yule aliyeishii nae muda mrefu ndo namuonea huruma kwasababu kuna muda ananishirikisha mipango yake juu ya rafiki yangu wakati mimi najua ukweli wote
Ndo unafki huo Sasa 😜Hatuwezi kumsaliti mwanetu. Misifa tutakupa tu, ila mambo yenu mtajuana wenyewe.
Mwanamke hakatai mimba, ikiingia ni yake.Wamependa nini kwa rafiki Yako?
Muonekano au Pesa?
Mbona wamejibebesha mimba chapchap hivo.
Ila mashemeji nyie sio watu wazuri.
Mshauri ampende sana huyo dada mwenye mipango.
Pole kaka naelewa mtihani unaokuwa nao kuplay kama mtu kati hapo 😂mimi binafsi nilimshauri ajaribu kushirikisha na ndugu zake wasije kujua baadae sana hata ikifika time ya kusaidiana lawama zisiwe nyingi sana kiasi cha kumchanganya akili
Hakuna namna Abaki tu na yule wa mwanzo hyo mshangazi atunziwe tu mwanae,maisha ndo haya haya bhnNina rafiki ambaye alimpa mimba msichana aliyekuwa akiishi naye kwa takribani miaka 3 hadi 4. Baadaye alipata kazi mbali na eneo walilokuwa wanaishi.