Rafiki yangu katoka kutembea na mke wa mtu

Rafiki yangu katoka kutembea na mke wa mtu

Kataa ndoa

Ndoa ni wizi

Ndoa ni kaburi

Ndoa ni tiketi ya magonjwa ya kuambukizwa

Ndoa ni chanzo cha magonjwa ya moyo

Usioe..usioe..usioe...utakuja nishukuru baadae.


(ila mi nishaoa tayar)
 
Nachoamini ushauri wangu umeupokea kwa moyo mkunjufu.

Kufanya kosa sio kosa, kosa ni kurudia kosa. Ungana nami kuupinga ushoga
Mabadiliko yanaanzia kwako, wacha tabia ya kuwagawia mapupu waume za majirani zako. Huu mwandiko sio mgeni kwangu
 
Mimi langu ni moja tu. Kama umeacha basi nakushauri usirudie tena. Ushoga ni laana
Wote ni walewale, sema ni kwa vile umenitangulia kuacha. Lile Jabali lililokuwa linakusarandia mpaka figo zinafubaa bado uko nalo?

Umejisahau kipindi unatoka Nanjilinji kuja kusaka maisha mjini haukuwa hivi. Shwaini
 
Wote ni walewale, sema ni kwa vile umenitangulia kuacha. Lile Jabali lililokuwa linakusarandia mpaka figo zinafubaa bado uko nalo?

Umejisahau kipindi unatoka Nanjilinji kuja kusaka maisha mjini haukuwa hivi. Shwaini
Tatizo we mbishi sana. Sasa endelea na ushoga wako. Usihangaike kunijibu kwakuwa sitaona ulichoandika. Maana nishakuweka kwenye ignore list yangu....

Endelea kuwajambia wanaume wenzako, mbingu utaisikilizia radioni

Kwaheri...
 
Yaani jamaa anawapa tips ili mjue mna survive vip kwa hizo scenarios alizo zishuhudia kwa mwanae ila wahuni mna mvaa mjuba[emoji23]
 
Na usiombe nikakutana na mkeo katika maisha haya ya ulimwengu. Nitamfanya kama rafiki yangu anavyomfanya mke wa huyo jamaa. Nitahakikisha namtweka mimba ya jembe halafu utanisaidia kulea mkuu
Wale wa kataa ndoa. Wana jambo la msingi sana.
 
Ukioa demu/mchumba/mpenzi wa mtu lazima uchapiwe tu maana ni umempora mtu mtu wake. Usijione mwamba kabisa maana unaweza ukapigwa matukio ya ajabu sana.

Mwisho ili kuepuka hayo yote KATAA NDOA mwanawane
 
[emoji16][emoji16]Na kweli mkuu, haya yote yatapita, maisha yataendelea kama kawaida. Kuoa ni kibali cha ishara ya heshima na ukomavu wa akili, wala hakina uhusiano wowote na nyuchi. Nyusi ipo kwa ajili ya kushelegwa. Maana halisi ya kuoa ni kuolea wanaume wanaokuzunguka
Mkuu nimekuelewa
 
Daaaaah.... wanawake na maneno yenu. Umempasha sana. Sijui kama atarudia tena.
Ama kweli, ng'ombe wa maskini hazai. Kweli unamdanganya mumeo unaenda somewhere, kumbe unaufuata mjeredi, tena wa kijana ambaye ni play boy ilihali unalitambua hilo kabisa

Imeniuma sana kushiriki dhambi kumpeleka shemu gheto ili akachakatwe kama nyama choma za mbuzi

Eti shemu, kumbe hata huyo mtoto ulie na picha zake kwenye simu yako sio wa mumeo!? Kwa hiyo ndo umerudi kwa mshikaji kutafuta mbegu mpate mtoto mwingine? Halafu mbele yangu bila aibu unaniambia kuwa unampenda sana rafiki yangu na eti huwezi kuwa na watoto kwa wakina baba tofauti

Mhurumie basi mumeo. Jinsi ambavyo ulivyokuwa unazungumza na mumeo kwenye simu nimeshangaa sana. Yaani una sauti tamu kama ya malaika, ila moyo wako ni wa kishetani. Hata hivyo mimi ni msiri, nimekuja kufungia code JF kwa kuwa inauma sana shemeji yangu

Ndo ushashelegwa hivyo, ushachomekwa jiti hivyo. Kwa maana nyingine ndo ushabanduliwa hivyo. Dah! Muda ule mnashelegana, mimi nilikuwa kwa Mangi dukani nikiwaza kama ingekuwa kwangu mimi

Nahisi umejiuliza ni kwanini afisa mipango nimeondoka bila kuaga. Nilimpigia simu mke wangu, akawa anazumgumza sauti ambayo wewe uliitumia kuzungumza na mumeo, imenibidi niwahi nyumbani kuhakiki kama yupo kweli. Nimewakagua wanangu phenotypes zao kama zinasharadadi na ya kwangu pasi na mke kujua ili nisije kuuzia mbuzi kwenye mabaro

Pesa ya mumeo umemuhonga rafiki yangu mbele yangu. Na bado umemng'ang'aniza akuchape nao. Sio kwamba nimewaonea wivu na kilio chako cha kinafki, la hasha, nimewaza tu ni kwanini mumeo akuhudumie kiasi hicho mpaka unanawili kama malaika, halafu shukhrani zako unamalizia kwa huyu mhuni mwenye wapenzi kibao kama nini, tena wengine wana maumbo mithili ya picha za njiti, wakina Asha Chupi Kubwa na Mashuga mummies

Eti Shemu, uliondoka au unalala kwa mjuba?

Ila kama ni uzuri wa macho, shemu umebarikiwa mashaallah

Ukiondoka, umpe salamu mumeo, tunampenda sana. Ila jitahidi umbebee hata ujauzito mmoja ili naye aache alama ya ushindi katika maisha haya

N.B Shemeji,
Kushelegwa nje ni haki yako, ila kwenye watoto umefeli pakubwa
 
Back
Top Bottom