Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,360
- 11,587
- Thread starter
- #21
Hata mume wa huyo binti anaamini kuwa mke wake hawezi kuwa na michepuko nje (Kwa jinsi alivyokuwa anazungumza kwa simu huku akiwekwa loud speaker)Bahati nzuri, amini nakuambia hakuna mke kati ya wake zangu anaweza kutoka na mwanaume wa aina yako.... Amini nakuapia....
Wewe na huyo shemeji yako sijaona tofauti yenu.... Wote ni walewale...
Nakushauri acha hiyo tabia... ushoga unaepukika.
Hakuna mwanamke mwaminifu kaka, mwaka 2017 nilikuwa napiga dudu mke na mtoto wao wa kike wa Pastor x jijini Mwanza. Sasa huyo mkeo mpiga taarabu atanishinda nini?