Chimoto
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 293
- 124
HABARI ZA JUMAPILI WANA JF,naombeni msaada wa mawazo kutoka kwenu bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,Kuna rafiki yangu alikuwa na mahusiano na binti mmoja hv kwa muda kama wa wiki 2 hivi juzi huyo rafiki yangu alikuwa ana sex nahuyo demu mida ya usiku hivi huyo demu huwa ana tabia ya kutoroka usiku na kuja kwa huyo rafiki yangu walipo maliza demu akarudi kwao ile anafika kwao akakuta mama yake yupo mlangoni anamsubiri kumuuliza ulikuwa wapi demu akaelezea kila kitu sasa wazazi wa huyo demu walienda nyumbani kwa huyo rafiki yangu na kudai kuwa binti yao ana mimba na wanataka jamaa amwoe lakn kwa mujibu wa rafiki yangu anasema huwa anatumia kinga kwa muda wote tangu waanze uhusiano.JAMAA ANAOMBA USHAURI AFANYAJE YUPO NJIA PANDA