Rafiki yangu kasingiziwa mimba

Rafiki yangu kasingiziwa mimba

Ndiyo matatizo ya kuiba. Akubali tu. Kitanda hakizai haramu.
Patamu sana hapo

K UNAIPENDA ILA MWANAMKE HUMPENDI. Huyo hana mimba ila wazazi wanafanya hivyo ili umuoe. Kuzalia nyumbani haipendezi. VUTA MTOTO NDANI ILI UJIPAKULIE VIZURI
Yap! Ningekuwa mimi ningekataa, yaani ningewaambia waseme ukweli tu binti yao ana mimba au wanataka nimuoe tu?!
 
Back
Top Bottom