NjooEmbu karbia tuext na cc kama
Kitu kitajbu kwa kutumia kinga
Hahahaa utamuua mwenzioSolution ni rahisi sana mbona, huyo rafiki yako (Au kama ni wewe mwenyewe) muoe tu huyo dada, ndio Mungu kakuandikia na ndio namna ulipangwa kukutana na mke wa maisha yako. Hakuna ubaya wowote, vile ulivyomuona anafaa kumuonesha maungo yako jua ndio mkeo huyo. Muoe tu umalize shida, matatizo, dhahama na uhasama wowote unaoendelea.
Nikuibie siri moja, duniani hakunaga muda muafaka kwa mwanaume kuoa! Always kunakuwaga na visababu sababu kuonesha muda bado au huyu hafai au vile, ila kiuhalisia huwa hakuna tatizo, usiwaze sana wala kuogopa mkuu, sema YES watu waanze vikao
Kumefungwa embu fungua mlangoNjoo
Wapi huko kumefungwa hahaaKumefungwa embu fungua mlango
Muoe tu acha kumsingizia rafiki yako!HABARI ZA JUMAPILI WANA JF,naombeni msaada wa mawazo kutoka kwenu bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,Kuna rafiki yangu alikuwa na mahusiano na binti mmoja hv kwa muda kama wa wiki 2 hivi juzi huyo rafiki yangu alikuwa ana sex nahuyo demu mida ya usiku hivi huyo demu huwa ana tabia ya kutoroka usiku na kuja kwa huyo rafiki yangu walipo maliza demu akarudi kwao ile anafika kwao akakuta mama yake yupo mlangoni anamsubiri kumuuliza ulikuwa wapi demu akaelezea kila kitu sasa wazazi wa huyo demu walienda nyumbani kwa huyo rafiki yangu na kudai kuwa binti yao ana mimba na wanataka jamaa amwoe lakn kwa mujibu wa rafiki yangu anasema huwa anatumia kinga kwa muda wote tangu waanze uhusiano.JAMAA ANAOMBA USHAURI AFANYAJE YUPO NJIA PANDA
Huo huo mlango 1 mmoja tu waWapi huko kumefungwa hahaa
Labda mwenyewe kafunga.Huo huo mlango 1 mmoja tu wa
Kuingia hebu angalia vzr
Maana naona umefungwa
Af usnicheke ni aibu ujue
Ndiyo tatizo letu wanaumei. Tunapenda K ila wanawake hawatuwapendiJamaa yeye hana mpango wa kuoa kwa sasa
HABARI ZA JUMAPILI WANA JF,naombeni msaada wa mawazo kutoka kwenu bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,Kuna rafiki yangu alikuwa na mahusiano na binti mmoja hv kwa muda kama wa wiki 2 hivi juzi huyo rafiki yangu alikuwa ana sex nahuyo demu mida ya usiku hivi huyo demu huwa ana tabia ya kutoroka usiku na kuja kwa huyo rafiki yangu walipo maliza demu akarudi kwao ile anafika kwao akakuta mama yake yupo mlangoni anamsubiri kumuuliza ulikuwa wapi demu akaelezea kila kitu sasa wazazi wa huyo demu walienda nyumbani kwa huyo rafiki yangu na kudai kuwa binti yao ana mimba na wanataka jamaa amwoe lakn kwa mujibu wa rafiki yangu anasema huwa anatumia kinga kwa muda wote tangu waanze uhusiano.JAMAA ANAOMBA USHAURI AFANYAJE YUPO NJIA PANDA
anas kunaonekana kamaLabda mwenyewe kafunga.
Itakuwa anajichaga nyuma ya mlangoanas kunaonekana kama
Hakuna mtu au anajifichaga
Nyuma ya mlango[emoji87]
Zilitembea Assist Za Kutosha.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aiseeee!!!kama nakuona ulivokua
Unasambaza assist kwa washkaj
Zako karbia wote
Itabd niingie na dirishanItakuwa anajichaga nyuma ya mlango