PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,516
- 13,270
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshikwa na ngozi........,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshikwa na ngozi........,
HABARI ZA JUMAPILI WANA JF,naombeni msaada wa mawazo kutoka kwenu bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,Kuna rafiki yangu alikuwa na mahusiano na binti mmoja hv kwa muda kama wa wiki 2 hivi juzi huyo rafiki yangu alikuwa ana sex nahuyo demu mida ya usiku hivi huyo demu huwa ana tabia ya kutoroka usiku na kuja kwa huyo rafiki yangu walipo maliza demu akarudi kwao ile anafika kwao akakuta mama yake yupo mlangoni anamsubiri kumuuliza ulikuwa wapi demu akaelezea kila kitu sasa wazazi wa huyo demu walienda nyumbani kwa huyo rafiki yangu na kudai kuwa binti yao ana mimba na wanataka jamaa amwoe lakn kwa mujibu wa rafiki yangu anasema huwa anatumia kinga kwa muda wote tangu waanze uhusiano.JAMAA ANAOMBA USHAURI AFANYAJE YUPO NJIA PANDA
Muoe tu ili ufaidi papuchi kwa uhuru zaidi, najua ww ndo muhusikaHuyo binti ni under 18 lakn hasomi shule yeyote
Jamaa naonekana mwoga ndo ttzPole sana
Kama anatumia kinga anahofia nini sasa?
Akatae tu majukumu!
Embu karbia tuext na cc kamaHuyo rafiki yako muongo hiyo mimba kajaza yeye ila anatafuta hurumaa tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mchukue umuone, we unataka maziwa tu kufuga hutaki
Afu huyo rafiki yake ni yeye mwenyewe[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Jamaa anapenda kuvuna
Kuliko kupanda na kupalilia
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna Siku Nilitaniwa Na Mtu Kuwa Nina Mimba. Na Hapo Nilishatembelea Ringi Kama Mara 5 Mfululizo. Nikaambiwa Nitafte Ela Ya Kutolea Koz Ilikua Ina Kama Mwezi. Nilihaha Ila Ndani Ya Weekend Nikawa Nimepata Kama 120k Kwa Kukopa,Mizinga Na ASSIST Za Hapa Na Pale. Nikamtumia Demu Hajibu. Nikampigia Simu Akasema Kaiona Nkakausha. Kesho Yake Namuuliza Kama Kafanikisha Ananiambia Bado. Mpaka Nikahisi Dem Anataka Anizalie Nini??
Nimekaa Sina Ili Wala Lile Na Nimefulia Balaa,Nashangaa Meseji Tigopesa Nimepokea 100k Nkaangalia Naona Namba Ya Demu Nlomtumia. Namuuliza Vipi Akasema Nlikua Nakutania Tu Nlitaka Nkutie JambaJamba Kidogo.
Kumdadisi Vizuri Akasema Mwanzoni Alidhani Imo Ila Akakuta Haimo So Akakausha Anipe Changamoto. Na Kweli Nilipagawa Kudadadeki. Iyo Ela Niliishia Kulipia Lodge Na Kumtia Vizuri,Ila Tulivaa Mpira.
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Kumbe hata ww umeliona hloAfu huyo rafiki yake ni yeye mwenyewe