afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,152
- 9,268
acha kumchanganya mungu na uzinzi
Haya we kweli kilaza . Soma tena nilicho andika..
acha kumchanganya mungu na uzinzi
Ushemeji uliisha pale tu ulipofanya maamuzi ya kumuacha...she is a free girl kwa sasa.
Huyo anasthili teke la pmb huko kote hajaona hadi aje ale ulipokula wewe?
huo ni usengenyaji....
Siku ambayo mke wa mshikaji wangu wa karibu aliponiambia anaishi na mwana kwa mazoea
Mimi ndie nilikuwa first priority yake na yupo tayari kunipa 0714
Nashukuru Mungu kanipa kujizuiza lakini angepata mtu ambaye beki hazikabi...........
Sometimes wanawake wanachangia sana usimlaumu mchizi kiviiileeee
Ila nawe majigo kwanini kila siku wewe tu na kesi za madem usikute hujui kupiga pmb af unataka kumiliki dem huo nao uboya pesa huna pmb hupigi ndo maana unakimbiwaEvelyn Salt
Jamaa Anatoka Shavu Nami Naona
Kwa Maneno Yako Nasema Sikubali...Lazima Aonje Chungu Huyu Pimbi!
Nikiona ID yako inanikumbusha Mohammed Ali wa KTN...
mh! Ya Kweli Hayo Chief
We Ni Mtu Poa Sana...Ubarikiwe Kwa Hilo
Jamaa namkubali sana kwa habari anazozitoa, anakitendea haki kipindi chake....la kwako linanikumbusha Park Min Young wa City Hunter
mapenzi yanatutesa sana ila wewe umezidi mkuKILA SIKU UNAUMIZWA WEWE TUU????????
Hahahaa...haya bwana...ila jamaa yuko vizuri...
Ila nawe majigo kwanini kila siku wewe tu na kesi za madem usikute hujui kupiga pmb af unataka kumiliki dem huo nao uboya pesa huna pmb hupigi ndo maana unakimbiwa