Rafiki yangu kanivuruga akili Mno

Rafiki yangu kanivuruga akili Mno

Mlishaachana

Vumilia tu

Ila ndio ujue si kila anayejifanya rafiki yako ni mkweli

Si ajabu alikuwa anakumegea kitaaaaaaambo

tulishaachana ...Kinachonikaanga Mtima
Ni Kuona Mshauri Wangu Kakamatia ...tena Naona Anakanyaga Kwa Furaha Zote!!
 
Huyo anasthili teke la pmb huko kote hajaona hadi aje ale ulipokula wewe?
huo ni usengenyaji....

mkuu inawezekana mheshimiwa majigo wala hajala hapo ndio maana kiroho kinamkereketa

alafu mapenzi hayachagui umpende nani ...
in fact mzee majigo alishamwagana na kipendacho roho chake hivyo besti hana makosa
 
Hahahaaaaaa. ..halafu akakushauri umuache sio? Ndo za kuambiwa changanya na zako....sikupatii pichaaa....

acha uchokozi mwenzako yuko serious horo inamuuma wewe unafurahi...!!!
 
Usithubutu kumwambia Mtu mabaya ya mwenzi wako kwani uenda hayo mabaya yakawa mazuri kwakwe na kushwawishika kumtafuta.

Pole kwa yaliokupata.
 
Juzi umekuja na uzi wa rafiki yako kakupaka lip stick mlimani city, leo tena rafiki yako kakuchulia mpenz.......
 
aiseee......
una kapollonium au ka acid au hata ka bastola kadogo labda nikushauri cha kufanya..........?.......
huyo jamaa kakuning'iniza tezi dume zako........na usipokuwa makini.......atazing'oa.........chukua hatua haraka........
bora ingekuwa humjui.........

Huyu Keshazingo'a Kabisa
Mapinduzi Aliyonifanyia Ni Ya Kihistoria!
 
Yite maisha

Next time jifunze kuwa maswala ya mahusiano yanatatuliwa na nyie wawili tu.....


tulishaachana ...Kinachonikaanga Mtima
Ni Kuona Mshauri Wangu Kakamatia ...tena Naona Anakanyaga Kwa Furaha Zote!!
 
mkuu kinachokuuma ni nini ....nyie si mlimwagana!!! maisha yake yanakuhusu nini wewe.....kwaiyo ulitaka asipendwe tena???

mwanafa.."ukimegewa tafuta mnyonge ummegee haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume..."
WEWE NI MNYONGE
Tuliachana Ila Huyu mshauri Wangu Ndie naona Wazi Yeye Alichochea Nizibe Bango kwa Huyu Binti
 
Siku ambayo mke wa mshikaji wangu wa karibu aliponiambia anaishi na mwana kwa mazoea

Mimi ndie nilikuwa first priority yake na yupo tayari kunipa 0714

Nashukuru Mungu kanipa kujizuiza lakini angepata mtu ambaye beki hazikabi...........

Sometimes wanawake wanachangia sana usimlaumu mchizi kiviiileeee
 
Si mshaachana, ulitaka mwenzio awe mtawa? hebu jikaze huko......waache wale rahaa.....

Hebu Kuwa Na Roho Ya Huruma Kim nana......hawa ni Mashemeji ujue!?...Nisaidie Kuwalaan Hawa
 
Last edited by a moderator:
Anajua Kabisa Yule Alikuwa Shemeji... Tena Hata Kesi Ndogo Ndogo Zilizotuhusu, Niliziweka Wazi Kwake Kwa Ushauri Na Msaada Wa Mawazo

Hata Tuliposhindwana Na Huyu Binti!.... Nilimshirikisha ......Na Kwakuwa Nilishavumilia Na Kuchoka Juu Ya Vitimbi Nilivyoangushiwa Na Huyu Binti, Akaafikiana Nami Kuwa Niachane Naye

Baada Ya Miezi Kadhaa......Cha Ajabu Kinachonishangaza Katika Hii Dunia Ni Kumuona Huyu Rafiki Yangu Akiwa Karibu Sana Na Huyu Binti Kwa Kipindi Hiki, Dalili Zinazoashiria Kuna Kitu Kinaendelea......Namaanisha Anamake Love Na Huyu Shemeji Yake
Nifanyeje Jamani?.....Kwani Kaniharibia wikend Yangu
Ahsante Jigo
wewe si wa kwanza. kuna jamaa mmoja anafanya kampuni fulani, alikuwa amepenga chumba/geto na washikaji wake watatu maeneo ya mwanza. chumba kingine kulikuwa na binti ndio amemaliza chuo amepanga pale, jamaa mmoja wa geto akawa rafiki yake. watu wote mtaani tulikuwa tunajua yeye ni mchumba wake na walikuwa hadi wanaishi pamoja jamaa alihama geto akahamia kwa mwanamke chumba cha pili wakawa wanalipa chumba pamoja kama mke na mme. hadi kazini kwao walikuwa wanajua jamaa yule ndio mkewe mtarajiwa. ikafika kipindi jamaa akaenda kwao moshi, akaoa huko kwa hawa wake wa kuzawadiwa, huku nyuma mchikaji wake wa geto lilelile akadaka mzigo ulioachwa nyuma huku, akaanza kuishi naye, na sasaivi mwanamke ana mimba anakaa na jamaa rafiki wa ex aliyeenda kuoa moshi.

nilichojiuliza, hivi jamaa yule wa moshi akija kumtembelea rafiki yake waliyekuwa wanaishi geto moja, akakuta ex wake ndio anamkaangia mshikaji wake, atajisikiaje na je? urafiki wa hawa jamaa utaendelea? au huyu mwanamke alikuwa anawachanganya wanaume geto zima hivyo hakuona ajabu kuhamia kwa mwingine? ni binti mzuri tena ana kisomo kizuri tu.

na je, jamaa kija kwa rafiki yake akakuta ex wake ndio anamkaribisha na kumletea maji ya kunywa, hatajisikia wivu, na jamaa aliyemuoa sasaivi atakubali rafiki yake aje amtembelee home amuone mkewe au ataogopa wasije kukumbushia na atawaacha wakae peke yao sebuleni, atawaachia hata mwanya kidogo tu?
 
SAA nyingine Shukuru kwa mambo kama haya
Huwezi kujua Mungu kakuepusha na nini au amekupangia nini mbeleni..

Kuwa mpole watakie mema ingawa inakuuma.

acha kumchanganya mungu na uzinzi
 
Last edited by a moderator:
Hebu Kuwa Na Roho Ya Huruma Kim nana......hawa ni Mashemeji ujue!?...Nisaidie Kuwalaan Hawa

Akuuu...hata sikusaidii....Tena nawaombea wafunge ndoa kabisaaa....daaadeki uwe best man.....

Pole sikupi....ulitumwa umuache...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom