Anajua Kabisa Yule Alikuwa
Shemeji... Tena Hata Kesi Ndogo Ndogo Zilizotuhusu, Niliziweka Wazi
Kwake Kwa Ushauri Na Msaada Wa Mawazo
Hata Tuliposhindwana Na Huyu Binti!.... Nilimshirikisha ......Na
Kwakuwa Nilishavumilia Na Kuchoka Juu Ya Vitimbi Nilivyoangushiwa Na
Huyu Binti, Akaafikiana Nami Kuwa Niachane Naye
Baada Ya Miezi Kadhaa......Cha Ajabu Kinachonishangaza Katika Hii Dunia
Ni Kumuona Huyu Rafiki Yangu Akiwa Karibu Sana Na Huyu Binti Kwa
Kipindi Hiki, Dalili Zinazoashiria Kuna Kitu Kinaendelea......Namaanisha
Anamake Love Na Huyu Shemeji Yake
Nifanyeje Jamani?.....Kwani Kaniharibia wikend Yangu
Ahsante Jigo