Rafiki yangu kanivuruga akili Mno

Rafiki yangu kanivuruga akili Mno

Anajua Kabisa Yule Alikuwa Shemeji... Tena Hata Kesi Ndogo Ndogo Zilizotuhusu, Niliziweka Wazi Kwake Kwa Ushauri Na Msaada Wa Mawazo

Hata Tuliposhindwana Na Huyu Binti!.... Nilimshirikisha ......Na Kwakuwa Nilishavumilia Na Kuchoka Juu Ya Vitimbi Nilivyoangushiwa Na Huyu Binti, Akaafikiana Nami Kuwa Niachane Naye

Baada Ya Miezi Kadhaa......Cha Ajabu Kinachonishangaza Katika Hii Dunia Ni Kumuona Huyu Rafiki Yangu Akiwa Karibu Sana Na Huyu Binti Kwa Kipindi Hiki, Dalili Zinazoashiria Kuna Kitu Kinaendelea......Namaanisha Anamake Love Na Huyu Shemeji Yake
Nifanyeje Jamani?.....Kwani Kaniharibia wikend Yangu
Ahsante Jigo

Kisicholika kwako wengine wanakiweza...
Ukisusaaa wenzio walaa, kalaghabao zumbukuku ulimwengu uko huku.
Papuchi aina exp date walijua hilo? Ulimuacha mwingine kabeba wee yakukereketa nini na uliitupaa...?
 
Baada Ya Miezi Kadhaa......Cha Ajabu Kinachonishangaza Katika Hii Dunia Ni Kumuona Huyu Rafiki Yangu Akiwa Karibu Sana Na Huyu Binti Kwa Kipindi Hiki, Dalili Zinazoashiria Kuna Kitu Kinaendelea......Namaanisha Anamake Love Na Huyu Shemeji Yake
Nifanyeje Jamani?.....Kwani Kaniharibia wikend Yangu
Ahsante Jigo

Kunywa sumu.....!
 
Nipe namba ya demu nimshauri waachane na mshikaji ili nimchukue Mimi wa mbali
 
Anajua Kabisa Yule Alikuwa Shemeji... Tena Hata Kesi Ndogo Ndogo Zilizotuhusu, Niliziweka Wazi Kwake Kwa Ushauri Na Msaada Wa Mawazo

Hata Tuliposhindwana Na Huyu Binti!.... Nilimshirikisha ......Na Kwakuwa Nilishavumilia Na Kuchoka Juu Ya Vitimbi Nilivyoangushiwa Na Huyu Binti, Akaafikiana Nami Kuwa Niachane Naye

Baada Ya Miezi Kadhaa......Cha Ajabu Kinachonishangaza Katika Hii Dunia Ni Kumuona Huyu Rafiki Yangu Akiwa Karibu Sana Na Huyu Binti Kwa Kipindi Hiki, Dalili Zinazoashiria Kuna Kitu Kinaendelea......Namaanisha Anamake Love Na Huyu Shemeji Yake
Nifanyeje Jamani?.....Kwani Kaniharibia wikend Yangu
Ahsante Jigo

Jigo mwezi huu ni wako maana sredi mmu hazikuishi,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ndiyo dunia ya mapenzi ilivyo mkuu,,,,,,vumilia,,,,
 
Back
Top Bottom