Rafiki yangu kamususa mke

Rafiki yangu kamususa mke

Rafiki yangu kamususa mke baada ya kugundua anamchiti na mke amegoma kuomba msamaha ila jamaa amesema huyo mke wake anakaa uchi kama njia ya kumrudisha jamaa kwenye mstari na huyo jamaa amejikuta akirudisha mahusiano huku akijua fika mke wake anamchiti, japo amesema anampango wa ku muvu lakini anaomba ushauri afanye nini kujiepusha na huyo mke kwa mda huu ambao bado anajipanga kuondoka
Hahahaaa

kakususaa ama.kamususaa
 
Sasa Ww inakuhusu nn
 
Huyo Rafiki yako anaongozwa na Uchi. Na Ndio maana Mke anajua udhaifu wake. Ataendelea kutumikia Nyuchi hadi anaenda kaburini. Mwanaume hupaswi kuongoza na hisia za ngono kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom