Rafiki yangu kambambikia mumewe watoto

Yan kuna watu wapumbavu sana alaf mwisho wa siku anakuja kulaum mwanaume hatoi msaada kwenye kukemea watoto
Kilichotokea mume alikosa kipato, pia akaugua, basi mama dharau ikawa kubwa kama anavyosimulia huyu mleta post. Mazingira hayo hayo, halafu cha ajabu mume ndio alimsomesha mke mpaka hapo alipofika.
 
Kama hujaolewa, nakushauri umlishe matango pori huyo shoga yako.

Mwambie amwambia huyo mumewe kuwa watoto sio wake halafu aombe zake talaka. Wakati bado anahangaikia talaka anza kumtongoza mume wake mpaka kieleweke.

Nakubaliana na wewe, wajinga wajinga wanatakiwa kufundishwa kijinga jinga vile vile.
 
Kilichotokea mume alikosa kipato, pia akaugua, basi mama dharau ikawa kubwa kama anavyosimulia huyu mleta post. Mazingira hayo hayo, halafu cha ajabu mume ndio alimsomesha mke mpaka hapo alipofika.
Dah pole zake sana yan unajitoa kwa mtu alaf baadae huyo mtu anakugeuka tena anakuona ww fala
 
Dah pole zake sana yan unajitoa kwa mtu alaf baadae huyo mtu anakugeuka tena anakuona ww fala

Hiyo iko sana haswa wanawake sijui kwanini...sisi wanaume huwa tuna uwezo wa kuvumilia sana hali za wake zetu, ila wanawake mwanaume akiyumba kiuchumi basi ni shida kubwa, sijui kwanini. Yaani alichosimulia huyu jamaa kimetokea kwa wanaume wengi sana. Mara nyingi mwisho ndoa huvunjika tu.
 
Hawa viumbe mara nyingi huwa wanatamani kututawala wao ndio wawe wasemaji wakuu ndio maana ukianguka kidogo akakuzidi na ww ukajisahau kushiria nafasi yako ndan ya familia imekula kwako
 
Urafik wenu ni mkubwa sana mpk video za ngono anakuonesha kama kwel anakusikiliza na kukuamini kwann usimshauri abadirike na kama anamuacha mumewe amuache ili mumewe apate furaha kwingine kuliko kumn'gang'ia mtu asie na mapnz yyte kwake ni muuaji huyo mwanamke
 
Nenda kampe habari hizo huyo mumewe ili ajiandae kisaiklojia na mkasa huo.
 
Mambo yao waachie wenyewe, huyo mwanamke na mume wake wote hawaba akili kwa kujirekodi...
 
Huyo mwanamke ni malaya tu kama walivo malaya wengine, jamaa bora aachane nae tu.
 
Back
Top Bottom