Rafiki yangu kambambikia mumewe watoto

Elimu hipi hyo!?? Hii ya sahiv ya makungwi walioshindwa na ndoa zao na yakutazama porn unategemea ije iwakomboe? Ama ya kitchen part ya siku moja?

Zaman mwali aliandaliwa mda mrefu na kufundishwa mengi tofauti na ilivyo kwa waolewaji/waowaji wa sasa.
Yan inasikitisha sana mbaya zaidi kumtukana/kumpandishia sauti mme wake mbele ya watoto hii ni hatari sana kwa malezi
Hata sielewi kabisaaa.... yaan maadili hamepotea kabisaaa. Imefikia stage watu kuamua kujizalia tu maisha yaende. Imekua kama prestige. Makungwi wenyewe majanga. Nakumbuka enzi za IFM kuna mama alikia akiijiuta mama shughuli kungwi lao. Alikua anaingia hostel enzi hizo kila mtu ana access. Anatuambia anafunda kwa sh. Laki 2 tena no ngono wala si mengine. Mremboo, amejaza vikukuku miguu yote. Mara anapigiwa simu na faza amepaki vx geti la makumbusho anatuambia eti ni mume wake
Upuuzi mtupu aisee

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Pumbuvu yan mtu anatoa 200k ili kujifunza sex tu!!!? Watu wamesahau kabisa kuwa ndoa ni zaidi ya sex na kuvaa pete. Yan thaman ya ndoa inazidi kupotea kadri siku zinavyozidi kwenda
 
Mwambie anacho kipanda kwa hao watoto atakuja kukivuna tu, mwanamke mpumbavu sana.
Hajui, kuna dada alifanya hivi akidhani labda anamkomoa mumewe.. Sasa hivi yule mtoto kampanda kichwani mpaka anataka kumpiga makofi, kagoma na shule kabisa, mama kachanganyikiwa. Baba kimya anamchora tu.
 
Yan kuna watu wapumbavu sana alaf mwisho wa siku anakuja kulaum mwanaume hatoi msaada kwenye kukemea watoto
 
Chai hii hakuna uhalisia

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda! Ila hili la kubambika lipo sana aisee hasa kwenye ndoa humu. Nina mifano kadhaa naijua ya jamaa zangu wa karibu kabisa. Na kadri umri wangu unavyosogea, nagundua kuwa kumbe rate ya wake za watu kuchepuka ni kubwa sana kuliko wanaume wengi tunavyodhania.

Wakati mwingine kama mwanamke hajatulia anaweza na yeye asijue mtoto ni wa baba yupi hasa. Imagine mke wa mtu amekuja kwako mchana "umemla" kavukavu halafu jioni au hats kesho yake tu karudi kwa mumewe naye "kala".......hapo ujauzito ukitunga hats Hugo mama inamuwia vigumu kujua ni mimba ya nani hasa......halafu itokee mtoto anazaliwa anafanana na mama yake! Si balaa hilo sheikh?!
 
Katika vitu nilivyojipanga navyo ktk maisha ni kutokujali matokeo yanayoletwa na mtu mwingine. Mfano mimi mke aniambie hawa watoto wote sio wako,nawahakikishia sitapata mshtuko. Aondoke nao tu,hapo atakuwa amejirahisishia tu njia ya kuondoka.

Huyo rafikiako hata asiposema sasa kipo kipindi atasema tu,au itavuja tu. Wanawake sio watu wa kudumu na siri. Kama hivi amekuambia wewe na wewe utamwambia mwingine,hiyo sio siri tena sasa. Hivyo nakushauri amwambie mapema tu jamaa ajue
 
Shida ya wanawake ni kuwa aliyeleta huu Uzi ataolewa na huyo mwanaume aaafu rafiki atakuja kulalamika hapa kuwa amepinduliwa kwa mume na rafiki wa karibu
 
Mwambie azipost hizo video kwenye fb.
La pili mwambie aachike tu , tutamtunza tupo.
La tatu mpe huo mmewe sambusa yako, halafu unaweka timu yako hapo kambi ya kudumu.
 
Back
Top Bottom